Mwanaume mzima unakula chipsi kuku unaacha dona na mihogo

Mwanaume mzima unakula chipsi kuku unaacha dona na mihogo

Watanzania wanapenda kula ugali mkubwa na mchuzi, afu wanajisifia

Hata kwenye kula chakula unatakiwa useme Nakula Samaki na ugali maana yake samaki mkubwa ugali kidogo, ukisema ugali samaki maana yake ugali mkubwa samaki kidogo hata wali hivo hivo Nyama na wali maana yake nyama nyingi wali kidogo, wanga mwilini hauhitajiki kwa kiwango kikubwa vile, na inategemea pia na kazi zako lakini pia kwenye kula unatakiwa ule milo hata mitatu lakini kwa portion ndogo ndogo sio kujaza sinia utahisi hautokula tena na ndio maana ulaji wetu unasababisha sana magonjwa yasiyoambukiza kama kisukari na kadhalika
 
Tujitahidi sana kula vyakula ambavyo hurahisisha mmeng’enyo wa chakula ni nzuri sana kiafya kuliko vyakula vinavyoenda kuganda ni hatari matokeo yake ni kujamba kila wakati na tumbo kujaa gesi,
 
Mungu tunusuru wanaume tumebaki wachache sana, foleni kubwa ya wadada wanasubiri na kuweka odder za chips Yai na kuku ghafla unakuta likidume lipo katikati ya wanawake na lenyewe linasubili chipsi [emoji848].

Mkigongewa wake zenu mnafoka nakati mnayataka wenyewe, mwanaume kula ugali wa dona na samaki wakuchemsha, gonga mihogo mibichi, nazi na karanga wa kutosha sio kula bugger na piza sijui bufee magonjwa hayooo unauwa nguvu zako za kiume.

Wanaume tuache kula vya kula vya kike.
Kaka mpwa ni kweli tunakula chipsi 🤣🤣🤣🤣🤣 ila siku hizi sisi hatujali hatutaki nguvu za kiume bali tunataka nguvu za kiuchumi!!!Nguvu za kiume zitatufikisha wapi kwenye dunia hii kama hatuna nguvu za kiuchumi🤣🤣🤣🤣🤣
 
20230124_140753.jpg
 
Mungu tunusuru wanaume tumebaki wachache sana, foleni kubwa ya wadada wanasubiri na kuweka odder za chips Yai na kuku ghafla unakuta likidume lipo katikati ya wanawake na lenyewe linasubili chipsi [emoji848].

Mkigongewa wake zenu mnafoka nakati mnayataka wenyewe, mwanaume kula ugali wa dona na samaki wakuchemsha, gonga mihogo mibichi, nazi na karanga wa kutosha sio kula bugger na piza sijui bufee magonjwa hayooo unauwa nguvu zako za kiume.

Wanaume tuache kula vya kula vya kike.
Unataka wale mihogo kwani ni wajawazito.
Mpwayungu waache watu wajivinjari, Wakishindwa kusimamisha tutawasindikiza kwa wamasai kutafuta dawa.
 
haya hela ipo naomba uwe unakuja kunipikia, maana issue sio kula hivyo vyakula ni kupika.
 
Supu ya nyama ya ngombe au m oz au kondoo unipige supu yake Tena kwa ngombe aliyechinjwa asbh alfajiri alfu nibukie supu yake na chapati mbili mkeo atanikimbia lzm ,nishow nzito Sana huwa napeleka nikigonga supu original ya ngombe au kondoo acha kbsa hyo kitu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mungu tunusuru wanaume tumebaki wachache sana, foleni kubwa ya wadada wanasubiri na kuweka odder za chips Yai na kuku ghafla unakuta likidume lipo katikati ya wanawake na lenyewe linasubili chipsi [emoji848].

Mkigongewa wake zenu mnafoka nakati mnayataka wenyewe, mwanaume kula ugali wa dona na samaki wakuchemsha, gonga mihogo mibichi, nazi na karanga wa kutosha sio kula bugger na piza sijui bufee magonjwa hayooo unauwa nguvu zako za kiume.

Wanaume tuache kula vya kula vya kike.
Sasa kila mwanaume ameo?
Hebu tafuta pesa uache nyuzi za kulalamika kila siku.
Acha watu wqishi maisha yao.
Wakigongewa wewe nini inakuuma?.

Ule chips au usile mwanamke atachepuka hata kwasababu za kijinga.

Kula dona sana bila pesa bado utagongewa.
Tafuta pesa sana bado utagongewa
 
Wabongo watafika caanan miili inachucha maji, sio kwa heka heka hizi lol.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom