Mwanaume ndo huyu

Mwanaume ndo huyu

Ukisikia bure ndo hii!
Nyie mnataka mwanaume awe na pesa,
Atumie nguvu zake nyingi kukuridhisheni kwa mambo yenu,
Atandike kitanda,
Awe mlinzi wa nyumbani,
Anunue mahitaji ya nyumbani,
Awe mrefu,
Awe mweusi,
Asiwe na kitambi,
Awe na usafiri,
Asiwe na michepuko,
Na..na...na...na vitu vingi visivyowezekana.
 
ewaaaaaaaaaaaa! walau azungukie nyumba kuangalia ht mbwa basi !bas akogeshe walau mbwa,km josho lipo mbali au bas apeleke mwenyewe mbwa kwenye majosho !uwiii yupo tu... na majiti mdomon anasubiria match ya arsenal tu hapo !arghhh

mvua imepasua njia maji yanaharibbu nyumba !bas achukue jembe achonge njia hakuna !anasubiria hausboy!mxiew
Aisee kweli tunakukera.
hhhaa wewe ndo naomba uelewe kwann umpe beki 3 kwan ww huwez
Hg wiki nzima anashinda nyumbani anaangali michezo tu mimi kukaa jumapili tu nongwa! Wiki nzima nawahangaikia jumapili ni siku yangu ya kupumzika,miguu juu hata glass sitoi mezani
 
Aisee kweli tunakukera.

Hg wiki nzima anashinda nyumbani anaangali michezo tu mimi kukaa jumapili tu nongwa! Wiki nzima nawahangaikia jumapili ni siku yangu ya kupumzika,miguu juu hata glass sitoi mezani

hhahhhahahahhaa aiseee !ptu
 
Anajua ni wajibu wake kutunza familia, atanunua kiwanja na kujenga nyumba na kama mmepangisha atalipa kodi

Akifanya haya hata mkate ukiisha unaona aibu kumwambia
Sasa kama ni wajibu wake kufanya ayo mliyoyataja...mbona huwaga mnalia lia 50/50 usawa wa kijinsia???

Kama unataka 50/50 basi na ww iwe wajibu wako kutunza familia...

Unajua nyie wanaharakati bana hamjui mnatakaga nini hasa
 
Kuna aina mbili za wanawake
1. A career woman
Huyu Mara nyingi anakua yule rafiki wa chuo ambae mlisoma wote, mlikopeshana boom, mlikula wote wali yai mkiwa shule. Ukimuoa huyu ni best friend na mtashare kila kitu.
Huyu ukiamka wewe wa kwanza itabidi itengeneze chai ili wote muwahi kazini.
Huyu ukiwa na report ya kuandika anaweza kukusaidia kama mambo ni mengi na atakushauri pia juu ya kazi yako. Huyu lazima afahamu ulipo 24/7

Mwanamke wa pili hutokea pale umemaliza shule bila serious relationship kitaa umekutana na mtoto wa mchungaji decent girl ndiyo kwanza amemaliza form four
Huyu ni mama wa nyumbani labda upende kumuendeleza. Huyu hata ukichelewa kurudi haulizi ulikuwa wapi
 
Kuna sina mbili za wanawake
1. A career woman
Huyu Mara nyingi anakufa yule rafiki wa chuo ambae mlisoma wote, mlikopeshana boom, mlikula wote wali yai mkiwa shule. Ukimuoa huyu ni best friend na mtashare kila kitu.
Huyu ukiamka wewe wa kwanza itabidi itengeneze chai ili wote muwahi kazini.
Huyu ukiwa na report ya kuandika anaweza kukusaidia kama mambo ni mengi na atakushauri pia juu ya kazi yako. Huyu lazima afahamu ulipo 24/7

Mwanamke wa pili hutokea pale umemaliza shule bila serious relationship kitaa bumekutana na mtoto wa mchungaji decent girl ndiyo kwanza amemaliza form four
Huyu ni mama wa nyumbani lands upende kumuendeleza. Huyu hata bulichelewa kurudi haulizi ulikuwa wapi
Wewe ni yupi kati ya hao?
 
Umeongea mengi apo ila ishu iko ivi
We ni mwanamke na always utaendelea kua msaidizi wa mwanaume tu siku zote....
Umezaliwa ivo. U cant change it

Ukishakubali fact kua wewe ni msaidizi tu wa mwanaume then apo ndo una haki ya kusema kua ana wajibu wa kutunza familia....

Ila ukishaanza harakati zako za kusema 50/50 haki sawa kwa wote basi iyo kauli ya kusema mwanaume ana jukumu la kutunza familia sijui kukupa wewe mahitaji futa....

Umeshasema 50/50 ina mana kama mahitaji ni 1,000 kwa siku then yeye anatoa 500 na wewe 500 hiyo ndo haki sawa kwa wote na usawa wa kijinsia..kua jinsia zote ni sawa so tunashare gharama....

Hakunaga haki sawa hata Mungu mwenyewe hayupo fair ndo mana wengine wanamiliki magari mpaka ya milioni 200 mwingine hata mlo mmoja wa siku kuupata ni shughuli.......
 
Aisee kweli tunakukera.

Hg wiki nzima anashinda nyumbani anaangali michezo tu mimi kukaa jumapili tu nongwa! Wiki nzima nawahangaikia jumapili ni siku yangu ya kupumzika,miguu juu hata glass sitoi mezani
Ahahahaaaaaa
 
Umekomalia kufuta feni. Hio feni inafungwa ndani ya dari. Maanake nipande na nyundo nikatindue misunari iliogongelewa.
Njia rahisi ni kumpa yule hg wetu ufagio wa kutolea vumbi aifute tu.
Tatizo lako wewe unakwepa kila sehemu wangapi wanafeni za juu nyumbani hakuna chochote yaani cha kufanya duu, haya sikuwezi unajua jinsi mlivyo tafutana na mazingira ndiyo mtaishi hivyo hivyo
 
Tatizo lako wewe unakwepa kila sehemu wangapi wanafeni za juu nyumbani hakuna chochote yaani cha kufanya duu, haya sikuwezi unajua jinsi mlivyo tafutana na mazingira ndiyo mtaishi hivyo hivyo
Afadhali umegundua mazingira yanatofautiana.
 
  • Anayejielewa kuwa ni mwanaume sio wa kuonesha misuli kujionesha yeye mwanaume
  • Awe yule anayefanya kazi za kiume kwelikweli hata kama ni Boss
  • Raha sana kumuona mwanaume ameinama mvunguni au anapiga jeki kutoa tyre(mfano tu )
  • Raha sana kuona mwanaume anahudumia mifugo ile ameinama na kaboxer kake kanaonekana ka kiume(awwww) ...Yaan ht mzuka wa kuingia jikoni na kanga moko kumpikia unakuja automatic
  • Kuna raha ya ajabu kumuona mwanaume anakata fence ya kuzunguka nyumba yake kale kajasho anakosweat huwa kichocheo ka kupewa game la kimafia kale kajasho ni BOOSTER KUBWA
La mwisho mwanaume halisia ni yule anaejua jiografia ya mwanamke... yaan yule anaejua nn anatakiwa kufanya kwenye mwili wa mwanamke(hapa naomba nitie msisitizo kwel kweli)
............sio mwanaume hata kukata muhindi wa kuchoma unashindwa,kubeba kilo 20 za mahndi wewe liulimi lote njee,
POPOTE ULIPO MWANAUME WA AINA HII SHOUT IT OUT TO YOU

UNSPECIFIED

@akiliZaDesperado
Yes kama Mimi hapa...
 
Back
Top Bottom