Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Hatari sana unaweza pasuka msamba kumpigania mtu kumbe yeye wala hahitaji ufanye yote hayoAiseee nimewaza kwa picha ulivyokua unaandika ulikua unafikiria nini!
Nimejikuta nacheka tu!
Tuna shida sana wanaume