Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee nimewaza kwa picha ulivyokua unaandika ulikua unafikiria nini!yaan raha sanaa
hamo igosha, nilembaga ikemaIgosha shii ile
Kitandani pia hungoji shuka zichakaeunapata na kamzuka ka kumkata kucha na kumfanyia scrub!lol
Ukiachika ya sita, nitafute tufunge ya saba. Nahisi utatulia kwangu[emoji23][emoji23]ilikufa!ndo nimeolewa ya5 leo
Dada habari za jioni?Anajua ni wajibu wake kutunza familia, atanunua kiwanja na kujenga nyumba na kama mmepangisha atalipa kodi
Akifanya haya hata mkate ukiisha unaona aibu kumwambia
Nzuri KakaDada habari za jioni?