ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,073
Aisee kweli tunakukera.ewaaaaaaaaaaaa! walau azungukie nyumba kuangalia ht mbwa basi !bas akogeshe walau mbwa,km josho lipo mbali au bas apeleke mwenyewe mbwa kwenye majosho !uwiii yupo tu... na majiti mdomon anasubiria match ya arsenal tu hapo !arghhh
mvua imepasua njia maji yanaharibbu nyumba !bas achukue jembe achonge njia hakuna !anasubiria hausboy!mxiew
Hg wiki nzima anashinda nyumbani anaangali michezo tu mimi kukaa jumapili tu nongwa! Wiki nzima nawahangaikia jumapili ni siku yangu ya kupumzika,miguu juu hata glass sitoi mezanihhhaa wewe ndo naomba uelewe kwann umpe beki 3 kwan ww huwez
Aisee kweli tunakukera.
Hg wiki nzima anashinda nyumbani anaangali michezo tu mimi kukaa jumapili tu nongwa! Wiki nzima nawahangaikia jumapili ni siku yangu ya kupumzika,miguu juu hata glass sitoi mezani
Sasa kama ni wajibu wake kufanya ayo mliyoyataja...mbona huwaga mnalia lia 50/50 usawa wa kijinsia???Anajua ni wajibu wake kutunza familia, atanunua kiwanja na kujenga nyumba na kama mmepangisha atalipa kodi
Akifanya haya hata mkate ukiisha unaona aibu kumwambia
Kuna aina mbili za wanawakeSasa kama ni wajibu wake kufanya ayo mliyoyataja...mbona huwaga mnalia lia 50/50 usawa wa kijinsia???
Kama unataka 50/50 basi na ww iwe wajibu wako kutunza familia...
Unajua nyie wanaharakati bana hamjui mnatakaga nini hasa
Wewe ni yupi kati ya hao?Kuna sina mbili za wanawake
1. A career woman
Huyu Mara nyingi anakufa yule rafiki wa chuo ambae mlisoma wote, mlikopeshana boom, mlikula wote wali yai mkiwa shule. Ukimuoa huyu ni best friend na mtashare kila kitu.
Huyu ukiamka wewe wa kwanza itabidi itengeneze chai ili wote muwahi kazini.
Huyu ukiwa na report ya kuandika anaweza kukusaidia kama mambo ni mengi na atakushauri pia juu ya kazi yako. Huyu lazima afahamu ulipo 24/7
Mwanamke wa pili hutokea pale umemaliza shule bila serious relationship kitaa bumekutana na mtoto wa mchungaji decent girl ndiyo kwanza amemaliza form four
Huyu ni mama wa nyumbani lands upende kumuendeleza. Huyu hata bulichelewa kurudi haulizi ulikuwa wapi
Mimi nilimaliza la saba A pale Mbuyuni Primary, ni wa pili hapoWewe ni yupi kati ya hao?
Umeongea mengi apo ila ishu iko iviKuna sina mbili za wanawake
1. A career woman
Huyu Mara nyingi anakufa yule rafiki wa chuo ambae mlisoma wote, mlikopeshana boom, mlikula wote wali yai mkiwa shule. Ukimuoa huyu ni best friend na mtashare kila kitu.
Huyu ukiamka wewe wa kwanza itabidi itengeneze chai ili wote muwahi kazini.
Huyu ukiwa na report ya kuandika anaweza kukusaidia kama mambo ni mengi na atakushauri pia juu ya kazi yako. Huyu lazima afahamu ulipo 24/7
Mwanamke wa pili hutokea pale umemaliza shule bila serious relationship kitaa bumekutana na mtoto wa mchungaji decent girl ndiyo kwanza amemaliza form four
Huyu ni mama wa nyumbani lands upende kumuendeleza. Huyu hata bulichelewa kurudi haulizi ulikuwa wapi
Wanaelewa sana,sema kiburi tyuhahaha hao ndo wanaume..hahaha yaan sijui niiwekeje hii waielewe
Kijasho muhimu mpenzi wangu [emoji6][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hadi wewe mpenzi una unga mkono huu uzi?
But babyKijasho muhimu mpenzi wangu [emoji6]
AhahahaaaaaaAisee kweli tunakukera.
Hg wiki nzima anashinda nyumbani anaangali michezo tu mimi kukaa jumapili tu nongwa! Wiki nzima nawahangaikia jumapili ni siku yangu ya kupumzika,miguu juu hata glass sitoi mezani
Lakini hata mazingira ya kwetu vina apply mpenzi, embu jaribu nioneBut baby
Hivi vitu ni kutokana na mazingira, na tartib za maisha.
Kwa ajili yako ntafanya my loveLakini hata mazingira ya kwetu vina apply mpenzi, embu jaribu nione
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji8]Kwa ajili yako ntafanya my love
But sioni kama it should be a parameter for manhood!
[emoji173][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji8]
Tatizo lako wewe unakwepa kila sehemu wangapi wanafeni za juu nyumbani hakuna chochote yaani cha kufanya duu, haya sikuwezi unajua jinsi mlivyo tafutana na mazingira ndiyo mtaishi hivyo hivyoUmekomalia kufuta feni. Hio feni inafungwa ndani ya dari. Maanake nipande na nyundo nikatindue misunari iliogongelewa.
Njia rahisi ni kumpa yule hg wetu ufagio wa kutolea vumbi aifute tu.
Afadhali umegundua mazingira yanatofautiana.Tatizo lako wewe unakwepa kila sehemu wangapi wanafeni za juu nyumbani hakuna chochote yaani cha kufanya duu, haya sikuwezi unajua jinsi mlivyo tafutana na mazingira ndiyo mtaishi hivyo hivyo
Ajabu mtu anang'ang'ania watu waishi anavyoona yeye inafaa.But baby
Hivi vitu ni kutokana na mazingira, na tartib za maisha.
Yes kama Mimi hapa...La mwisho mwanaume halisia ni yule anaejua jiografia ya mwanamke... yaan yule anaejua nn anatakiwa kufanya kwenye mwili wa mwanamke(hapa naomba nitie msisitizo kwel kweli)
- Anayejielewa kuwa ni mwanaume sio wa kuonesha misuli kujionesha yeye mwanaume
- Awe yule anayefanya kazi za kiume kwelikweli hata kama ni Boss
- Raha sana kumuona mwanaume ameinama mvunguni au anapiga jeki kutoa tyre(mfano tu )
- Raha sana kuona mwanaume anahudumia mifugo ile ameinama na kaboxer kake kanaonekana ka kiume(awwww) ...Yaan ht mzuka wa kuingia jikoni na kanga moko kumpikia unakuja automatic
- Kuna raha ya ajabu kumuona mwanaume anakata fence ya kuzunguka nyumba yake kale kajasho anakosweat huwa kichocheo ka kupewa game la kimafia kale kajasho ni BOOSTER KUBWA
............sio mwanaume hata kukata muhindi wa kuchoma unashindwa,kubeba kilo 20 za mahndi wewe liulimi lote njee,
POPOTE ULIPO MWANAUME WA AINA HII SHOUT IT OUT TO YOU
UNSPECIFIED
@akiliZaDesperado