Hatari sana unaweza pasuka msamba kumpigania mtu kumbe yeye wala hahitaji ufanye yote hayoAiseee nimewaza kwa picha ulivyokua unaandika ulikua unafikiria nini!
Nimejikuta nacheka tu!
Tuna shida sana wanaume
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]hapana siajolewa !vip kwan
Kuja pm tuyajengehapana siajolewa !vip kwan
Pole ya nini njoo tuyajenge upate pumziko la milelehahahaha aisee !pole we!
Dunia ina mambo hii[emoji16][emoji16]Kukiwa na baridi anavua koti lake akukinge wewe