okonkwo jr
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 2,419
- 1,738
[emoji735]Mtaishia kupata preshaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji735]Mtaishia kupata preshaa
Watu wengi hatupendi kuijua kweli kwani Mara nyingi huumiza ila faida zake in kubwa kuliko hasaraKuchunguza sio kuzuri ila kushika sio kubaya...ila unapogundua amebadilika kuchunguza ni sahihi.
Huwa nawashangaa watu wanaosema usishike simu ya mpenzi wako. Sasa yangu ikiisha chaji au salio na tupo wote ndani??
Tupe mchango wako wee unajitambua, hoja hujibiwa kwa hoja na so vioja kama vyako[emoji31] [emoji31]Hujajitambua ww..juma4 hii unawaza majivu tu kichwan..empty brain kabksa
Huo ndo ukweli mkuuNimesema hvi: ukihisi usaliti kwenye ndoa yako kupitia simu, peleka taarifa tcra, kuchunguza si jukumu lako. Halaf hakikisheni nyumba zenu zote zina expansion joint.
.kuogopa kushika simu ya mpenzi au mwenza wako kwa kigezo cha kuogopa kujitakia presha na ugomvi ni upuuzi wa kiwango cha masters ambao unalinganishwa na mtu anayeogopa kwenda kupima VVU eti kisa akijua atakufa au atapata presha, ndugu yangu ni bora akachunguza ili uweze chukua hatua stahiki, magonjwa yamezidi , michepuko haifai, mungu awabariki,
Wazinzi hapa watakuwa wanachungulia na kusepa tukukua na kupanuka kwa sayansi na teknolojia kumekuwa na matokeo hasi na chanya katika jamii.
kupanuka kwa matumizi ya simu na mitandao ya kijamii kumeleta changamoto katika mahusiano ya kimapenzi , hii ni kwa wapenzi na wanandoa , ambampo unakuta baba na mama wanaishi pamoja na kushea kila kitu ,hadi password za akaunti za benki ila cha ajabu mwanamme ima nwanamke haruhusiwi kushika simu ya mwingine.
kiufupi mkifikia hapo inakuwa hiyo sio ndoa tena, mme na mke sharti waaminiane kwa kila jambo,
ikumbukwe kuwa wanawake ni viumbe dhaifu(samahani) ndio maana shetani katika bustani ya edeni alimfuata Hawa akijua kuwa atafanikiwa na kweli ilikuwa hivo, hapa kosa lilikuwa kwa Adamu kumuacha mke pekee,hapa namaanisha kuwa mwanamke anapaswa kusimamiwa na kuelekezwa, haiwezekani mke wako awe na akaunti kila social network , na hujui kipi anakifanya huko Mara atume mipicha na mijanaume mibazazi ianze kumsifi ooh wewe mrembo, na yeye anaitikia asante, huu ni upuuzi hakika watamnasa tu, mwanamke anapenda sana kusifiwa, mwanamme kuwa makini
jambo la mwisho mudhibiti mkeo kuwa na account kila mtandao utadhani ni mfanyabiashara,huko hakuna chochote bali ni sehemu ya kufarakanisha ndoa tu,
NB.kuogopa kushika simu ya mpenzi au mwenza wako kwa kigezo cha kuogopa kujitakia presha na ugomvi ni upuuzi wa kiwango cha masters ambao unalinganishwa na mtu anayeogopa kwenda kupima VVU eti kisa akijua atakufa au atapata presha, ndugu yangu ni bora akachunguza ili uweze chukua hatua stahiki, magonjwa yamezidi , michepuko haifai, mungu awabariki,
[AHSANTENI]
Mbona wewe michango yako yote humu ni ya kikatili? Jf ni mahala pa kupunguzia stress Mkuu, punguza jaziba, utakuwaje na jazba na mtu usiye mfahamu, jirekebishe Mkuu, hakika haipendezi, maisha yenyewe yako wapi?Akili ako ina nasibu avatar ako..idiot kabisa
Mkuu Niko katika ndoa for years now, sijawahi na sitaki kuchepuka na muheshimu mke wangu, na najua maumivu ya usalitiNaona una conclude kabisa....
Wewe hujawahi kuchepuka.!?
Kwanini,ilihali yayeye unagusaLakini yangu hasiguse
Cha mno nini kuchunguza simu ya mke? Sijiamini?Siwezi poteza huo muda
Ndio Mkuu, usipingane na kweliYakwako inachunguzwa?
Tatizo huenda unakuwa humpendi ulo Nae , au wote ni wachepukajiCha mno nini kuchunguza simu ya mke? Sijiamini?
Halafu unalala kawaida na kuamka salama sababu ya kuchunguza simu ya mkeo?Ndio Mkuu, usipingane na kweli
Sasa kama hujawahi chepuka kwanini umfikirie mkeo vibaya hadi upekue simu yake..!?Mkuu Niko katika ndoa for years now, sijawahi na sitaki kuchepuka na muheshimu mke wangu, na najua maumivu ya usaliti