Kwanini uogope mwenzako kuchezea sim yako? Hamuogopani kuchezeana vinyoleo iweje uogope kichezea sim?. Kama presha ni matadhi kama yalivyo mengine. Mimi sim ya mke wangu nipo huru nayo sana tu password yangu ni yake, yake ni yangu kwa ufupi tunashea kila kitu. Kasoro kitu kimoja ya kwangu anaogopa kuichukua mpaka aniombe lakini sio kwamba akichukuwa ntachukia hapana. Anaheshim tu kama ana shida nayo anaichukua kama kawaida, lengo la kuchukua ni pale nimpe ruhusa ya kutumia dakika zilizobakia kama hazina kazi na zinakakaribia kuisha mda.