Mwanaume ni haki yako kuchunguza simu ya mwenza wako kwa usalama wa ndoa yako!!!

Kuchunguza sio kuzuri ila kushika sio kubaya...ila unapogundua amebadilika kuchunguza ni sahihi.

Huwa nawashangaa watu wanaosema usishike simu ya mpenzi wako. Sasa yangu ikiisha chaji au salio na tupo wote ndani??
Watu wengi hatupendi kuijua kweli kwani Mara nyingi huumiza ila faida zake in kubwa kuliko hasara
 
Nimesema hvi: ukihisi usaliti kwenye ndoa yako kupitia simu, peleka taarifa tcra, kuchunguza si jukumu lako. Halaf hakikisheni nyumba zenu zote zina expansion joint.
Huo ndo ukweli mkuu
 
Unakagua simu huku mtu ana line kumi kibindoni itakusaidia nini,
Tena ukiona ambaye upo naye na hana presha na simu jua hiyo line ni kwa ajili yako tu!
 
Naona una conclude kabisa....
Wewe hujawahi kuchepuka.!?
 
Wazinzi hapa watakuwa wanachungulia na kusepa tu
 
Akili ako ina nasibu avatar ako..idiot kabisa
Mbona wewe michango yako yote humu ni ya kikatili? Jf ni mahala pa kupunguzia stress Mkuu, punguza jaziba, utakuwaje na jazba na mtu usiye mfahamu, jirekebishe Mkuu, hakika haipendezi, maisha yenyewe yako wapi?
 
Mkuu Niko katika ndoa for years now, sijawahi na sitaki kuchepuka na muheshimu mke wangu, na najua maumivu ya usaliti
Sasa kama hujawahi chepuka kwanini umfikirie mkeo vibaya hadi upekue simu yake..!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…