Hizo ni assumptions zako. Hazina ukweli wowote. Badala ya kupambana nianze kuhangaika na mambo ya kufikirika? Kama binadamu ameamua kiharibu hakuna utakachoweza kufanya kuzuiaTatizo huenda unakuwa humpendi ulo Nae , au wote ni wachepukaji
Umeniwahi huyu jamaa kila mtu anampinga tu hakuna sehemu ameunga mkono hojaHuyo jamaa anayejiita Conor hapo juu, ananipaga raha sana, hakuna uzi jf asioupinga na lazma umkute pg za mwanzo, yani hata hapa ataweza apinge kama yeye hapingi.
Huwezi kuwa na mchepuko na sim isiwe sababu.Utapoteza mda bure,haya mambo ni kumuomba Mungu tu.Unaweza kusalitiwa vizuri tu na kwenye simu usione chochote.
Mkuu wewe na mimj pacha,mke wangu yuko guru sana na simu yangu, hutumia any time anapijisikia, ini short hats Mimi pia natumia yakeKwanini uogope mwenzako kuchezea sim yako? Hamuogopani kuchezeana vinyoleo iweje uogope kichezea sim?. Kama presha ni matadhi kama yalivyo mengine. Mimi sim ya mke wangu nipo huru nayo sana tu password yangu ni yake, yake ni yangu kwa ufupi tunashea kila kitu. Kasoro kitu kimoja ya kwangu anaogopa kuichukua mpaka aniombe lakini sio kwamba akichukuwa ntachukia hapana. Anaheshim tu kama ana shida nayo anaichukua kama kawaida, lengo la kuchukua ni pale nimpe ruhusa ya kutumia dakika zilizobakia kama hazina kazi na zinakakaribia kuisha mda.
Like kama buku hivKwanini uogope mwenzako kuchezea sim yako? Hamuogopani kuchezeana vinyoleo iweje uogope kichezea sim?. Kama presha ni matadhi kama yalivyo mengine. Mimi sim ya mke wangu nipo huru nayo sana tu password yangu ni yake, yake ni yangu kwa ufupi tunashea kila kitu. Kasoro kitu kimoja ya kwangu anaogopa kuichukua mpaka aniombe lakini sio kwamba akichukuwa ntachukia hapana. Anaheshim tu kama ana shida nayo anaichukua kama kawaida, lengo la kuchukua ni pale nimpe ruhusa ya kutumia dakika zilizobakia kama hazina kazi na zinakakaribia kuisha mda.
Wachepukaji povu linewatoka balaaLike kama buku hiv
Aisee watu wanakulalamikia kwa kupinga kila jambo. SASA NA KWAMBIA WATCH OUT!!!!!....Hujajitambua ww..juma4 hii unawaza majivu tu kichwan..empty brain kabksa
Hawa watu wanafanana sitaki stressSasa so ndo vizuri ilikusaidia kumjua mtu ulonaye
Si uichaji yako au ununue salio[emoji57]Kuchunguza sio kuzuri ila kushika sio kubaya...ila unapogundua amebadilika kuchunguza ni sahihi.
Huwa nawashangaa watu wanaosema usishike simu ya mpenzi wako. Sasa yangu ikiisha chaji au salio na tupo wote ndani??
Kuna Jamaa anashinda na sim ya mkewe,lakin mke bado anachepuka tu.Ndo maana nakwambia ni kumuomba Mungu,huku mtaani kuna mambo mkuu.Huwezi kuwa na mchepuko na sim isiwe sababu.
Haha vichepukaji utavijua tu.Si uichaji yako au ununue salio[emoji57]
Mie tena!! Si unanijua nina njia kuu moja tu!!!!!Haha vichepukaji utavijua tu.
bahati yako leo nipo vizuri ningeshtakiMie tena!! Si unanijua nina njia kuu moja tu!!!!!
Ushtaki wapi sasa!!!bahati yako leo nipo vizuri ningeshtaki
Kwa kaizerUshtaki wapi sasa!!!