Mwanaume ni haki yako kuchunguza simu ya mwenza wako kwa usalama wa ndoa yako!!!

Ukibaini amebadilika, kagua. Hakuna kupindisha maneno hapo. Kama mambo yako powa tu, haina haja. But upo huru kuomba ili kufanya mawasiliano hasa wewe unapokuwa huna salio /simu yako inapokuwa inashida/mbovu
 
Ukibaini amebadilika, kagua. Hakuna kupindisha maneno hapo. Kama mambo yako powa tu, haina haja. But upo huru kuomba ili kufanya mawasiliano hasa wewe unapokuwa huna salio /simu yako inapokuwa inashida/mbovu.
 
Hiyo ndio mbinu yangu ya kuachana na hawa viumbe dhaifu. Nisha acha wengi kwa kuchunguza cm.
 
nadhani ni sahihi kabisa kushika simu ya mwenzi wako wakati wowote,,, kwani kama anakusaliti halafu ukaacha jushika ndo itabadilika? no bora ukashika ujue mapema ufanye maamuzi maana kuendelea kuishi gizani kwa kigezo cha presha mwisho unaletewa mimba siyo yako au magonjwa kumbe ungeshtuka mapema ingesaidia!!!
 
Mie ukishika simu yangu naweza kukuchoma visu visivyo na idadi, sitaki mazoea....
Shubameet [emoji51] [emoji16] [emoji119] [emoji119]
 
Mie ukishika simu yangu naweza kukuchoma visu visivyo na idadi, sitaki mazoea....
Shubameet [emoji51] [emoji16] [emoji119] [emoji119]
Utaruhusu vipi ilihali uko njia panda?
 
I idiot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…