Mwanaume ni kama suruali ya jinsi hachujiiii

Nyoka_mzee

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2016
Posts
3,695
Reaction score
5,531
Jinsi haujawai pitwa na wakati ,toka,
Ikiwa mpya ndo fasheni ,ikipauka ndo inazidi kuwa fasheni,Ikichanika ndo usiseme ,Yaan bonge ya katalogiii...

Hivyo hivyo kwa mtoto wa kiume ,Huwa kwanza
Hapitwi na fasheni ,
Huwezi kusikia mwanaume kachuja na Mwanaume huwa Hazeeki ,

Tushukuru sana kwa Upendeleo huu mungu alotupa ,Tofauti na watoto wa kike wao ni kama Suruali ya kitambaaa,Haichelewi kuchanika ,pia hata kupitwa na wakat,
Mwanamke Akiringia uzuru basi Mwambie una mda ,
Akiringia shepu pia mwambie ina mda ,
Kila kitu chao kina mda,

Na ukiona Mtoto wa kiume Anajisifu yeye mzuri ,Moja kwa moja Huyo sio Katika Sisi.


Nyoka Mzee[emoji216]
 
We fulia uone kama haujachuja.

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Mwanaume kama hana hela anachujaa, anapaukaaaa

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
 
Kuchuja kumo pia we subiri cku uwe huna mia uone kama hujachuja.

Sent from my K-KOOL using JamiiForums mobile app
 
Kuchuja kumo pia we subiri cku uwe huna mia uone kama hujachuja.

Sent from my K-KOOL using JamiiForums mobile app
pesa haimkarishi mtoto wa kiumee mzee ,inamana bila pesa ww si mwanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…