Mwanaume ni kama suruali ya jinsi hachujiiii

Wewe suruali ya jinsi ya gani sasa? High waist, bwanga au kamatia chini

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
 
Kwani wanawake sifa ya kuwa wanawake inaondolewa na nn?

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
wachunguze wanawake wengi utajua wanatumia muda mwingi kujiongeza wachache sana wamebaki na uwasili wao
 
Mada ya kipumbavu kama wewe, siwezi weka mchango wangu hapa

Sent from my MI 5s Plus using JamiiForums mobile app
basi potea unafanya nini Hapa ,Uwepo wako hapa unashiria nawe ni mmoja wao
 
Wewe suruali ya jinsi ya gani sasa? High waist, bwanga au kamatia chini

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Sasa na hiyo Jinsi ikichanika matakolioni bado tu itakuwa ni fashion au ni ubwabwa?

Najiuliza tu. [emoji124][emoji124][emoji124]
 
Sasa na hiyo Jinsi ikichanika matakolioni bado tu itakuwa ni fashion au ni ubwabwa?

Najiuliza tu. [emoji124][emoji124][emoji124]
Na mpaka inachanika matakoni ulikalia msumari wa moto?[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Kidonge cha motoooo dadekiii

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
Kwakweli Mungu katujalia ndo maana hata mwanaume ukiwa na miaka 100 unazalisha, lakini mwanamke akifikisha 45 years tu (Menopause) kuzaa ni utata.........
 
Mkuu yule demu wa kuitwa arabian queen ulimpeleka wapi..mlikuwa na chemistry nzur sana
Hahaha kwanini mkuu unasema hivyoo...
Sijui kapotea wapi mi nilienda funga zangu ramadhani narudi nakuta mshamchukuwa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Kwakweli Mungu katujalia ndo maana hata mwanaume ukiwa na miaka 100 unazalisha, lakini mwanamke akifikisha 45 years tu (Menopause) kuzaa ni utata.........
Nashukuru ww umenielewa sana ,maana kuna watu wamedakia huu uzi hawajanielewa nilichokusudia hapa
 
Hahaha kwanini mkuu unasema hivyoo...
Sijui kapotea wapi mi nilienda funga zangu ramadhani narudi nakuta mshamchukuwa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Me nilidhani wote mlipotea kwenda kwenye mfungo na saiz nikafikiri mmerudi wote kwa pamoja...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…