Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wachunguze wanawake wengi utajua wanatumia muda mwingi kujiongeza wachache sana wamebaki na uwasili waoKwani wanawake sifa ya kuwa wanawake inaondolewa na nn?
Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
basi potea unafanya nini Hapa ,Uwepo wako hapa unashiria nawe ni mmoja waoMada ya kipumbavu kama wewe, siwezi weka mchango wangu hapa
Sent from my MI 5s Plus using JamiiForums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Wewe suruali ya jinsi ya gani sasa? High waist, bwanga au kamatia chini
Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
Ahaa bas sawa hapa sisi naturally hapana shakawachunguze wanawake wengi utajua wanatumia muda mwingi kujiongeza wachache sana wamebaki na uwasili wao
Ukiwa na sifa ya uanaume, huwezi andika ujinga kama huubasi potea unafanya nini Hapa ,Uwepo wako hapa unashiria nawe ni mmoja wao
Jinsi haujawai pitwa na wakati ,toka,
Ikiwa mpya ndo fasheni ,ikipauka ndo inazidi kuwa fasheni,Ikichanika ndo usiseme ,Yaan bonge ya katalogiii...
Hivyo hivyo kwa mtoto wa kiume ,Huwa kwanza
Hapitwi na fasheni ,
Huwezi kusikia mwanaume kachuja na Mwanaume huwa Hazeeki ,
Tushukuru sana kwa Upendeleo huu mungu alotupa ,Tofauti na watoto wa kike wao ni kama Suruali ya kitambaaa,Haichelewi kuchanika ,pia hata kupitwa na wakat,
Mwanamke Akiringia uzuru basi Mwambie una mda ,
Akiringia shepu pia mwambie ina mda ,
Kila kitu chao kina mda,
Na ukiona Mtoto wa kiume Anajisifu yeye mzuri ,Moja kwa moja Huyo sio Katika Sisi.
Nyoka Mzee[emoji216]
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Ahaa bas sawa hapa sisi naturally hapana shaka
Na mpaka inachanika matakoni ulikalia msumari wa moto?[emoji1] [emoji1] [emoji1]Sasa na hiyo Jinsi ikichanika matakolioni bado tu itakuwa ni fashion au ni ubwabwa?
Najiuliza tu. [emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Kidonge cha motoooo dadekiii
usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
Hahaha kwanini mkuu unasema hivyoo...Mkuu yule demu wa kuitwa arabian queen ulimpeleka wapi..mlikuwa na chemistry nzur sana
Nashukuru ww umenielewa sana ,maana kuna watu wamedakia huu uzi hawajanielewa nilichokusudia hapaKwakweli Mungu katujalia ndo maana hata mwanaume ukiwa na miaka 100 unazalisha, lakini mwanamke akifikisha 45 years tu (Menopause) kuzaa ni utata.........
Me nilidhani wote mlipotea kwenda kwenye mfungo na saiz nikafikiri mmerudi wote kwa pamoja...Hahaha kwanini mkuu unasema hivyoo...
Sijui kapotea wapi mi nilienda funga zangu ramadhani narudi nakuta mshamchukuwa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
hahahaha amna mie nilitangulia kutoka nikamwacha humu[emoji1] [emoji1] [emoji1]Me nilidhani wote mlipotea kwenda kwenye mfungo na saiz nikafikiri mmerudi wote kwa pamoja...
Sana tu [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Najivunia kuwa mwanaume