Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,933
Kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kikristo, mwanaume Mkristo, lazima uiandae na kuitunza familia yako, usipofanya hivyo utakuwa umeikana imani na utakuwa ni mbaya zaidi kuliko kafiri - 1 Tim 5: 8.
Mungu alimpa mwanaume kazi kabla hajampa mke (Mwanzo 2:15).
Ila mwanamume asipokuwa na uwezo baada ya ndoa, lazima atoke nje na kuhangaika kupata hela ya kumtunza mkewe na watoto.
Tukumbuke katika lile anguko la mwanadamu, Mungu alimwambia Adamu (si Hawa) kwamba lazima atoe jasho siku zote za maisha yake (Mwa 3:17-19).
Mwanaume ambaye hayuko tayari kufanya kazi hastahili kuwa na familia.
Hakuna ubaya kwa mwanamke kupata mapato zaidi ya mwanaume. Lakini mwanamume lazima afanye bidii na kuchangia mahitaji yote ya familia.
Kabla na baada ya kuoa hakikisha una hela ya kumtunza mkeo na wanao.
Ubarikiwe.