Mwanaume ni nani? Hebu fuatana na Mimi mpaka mwisho!

Mwanaume ni nani? Hebu fuatana na Mimi mpaka mwisho!

Hizo zote ni uongo na utoto
Namba 6 ya kuwa na mipango ya mida mrefu na. Namba 12 ya kuanza upya nakubaliana nazo

Hizo nyingne inategemeana ntu na ntu.
 
Nasoma NARUDIA nasoma NARUDIA. Yani nashindwa kuelewa.

ila kama Kuna kajiukaeli flani Hivi japo ni kachungu....!!!!!

Umenivuruga Sana......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wapi nimekuvuruga mkuu??
 
Daah sisi wanaume,tumeumbwa ajabu sana,brother kamuachia mke wake kila kitu,kaondoka na
nguo zake tu,mimi nilikuwa na wanawake nnje wengi sana ila hata siku moja sikuwahi kumdharau mke wangu,naparangana sana mpaka nashindwa kununua nguo lakini mke wangu anabadilisha madera kila kukicha,usiku sipati usingizi nawaza maisha lakini mke wangu anakoroma hata ashituki,na daiwa madeni mtaani lakini mke wangu anataka ela ya kubadilisha nywele,kupaka kucha rangi..
Sisi wanaume tunakufa mapema sana,tunawaacha hao wanawake na mali kibao,kazi yao sasa ni kutumbua na wanaume wengine,sisi wanaume tutaenda mbinguni kabisa
Umeandika Kwa uchungu sana mkuu imenipain sana
 
Pale mvaa skate anapojipachika uanaume kwa vile tu nae anavaaga suruwali wanazovaa wanaume!

Mleta mada hizo sifa ulizozitaja nimezi-bold hapo juu ni za baba yako na ukoo wako sisi wanaume wengine hatuna ujinga huo.
Ahsante Kwa mchango wako mkuu
 
Mwanaume tuna vichwa viwili hilo ndilo linatuponza na niwachache sana wanaweza kuvi_control
 
Back
Top Bottom