Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Hoja hujibiwa kwa hojaSijasoma mada ila nimesikitika sana
Tafiti za kisayansi zinasema Mwanaume mmoja anaweza kuzalisha wanawake 300 ndani ya mwaka mmoja . Wanaume wamepewa uwezo wa kumiliki wanawake . Mwanaume ni halali kuwa na wanawake wengi ila mwanamke ameumbwa amilikiwe na mwanaume mmoja
Umenipa cheo kikubwa , kumbe nina uwezo wa kukupangia maishaUkiwa nao wewe inatosha
Tusipangiane maisha
Out of contextfinancial services
Mithali 29:18 Pasipo maono, watu huacha kujizuia; Bali ana heri mtu yule aishikaye sheria.
Naongezea ila tu wasiwe wake za watuMwanaume lazima uwe na warembo watatu. Chini ya hapo huitendei haki mgegedo wako
Ndio ndio mkuu 😎Hoja hujibiwa kwa hoja
PmjNdio ndio mkuu 😎
Hii nchi ina wenyenchi walanchi na wananchiUmenipa cheo kikubwa , kumbe nina uwezo wa kukupangia maisha
Hii nchi ina wenyenchi walanchi na wananchi
Wewe upo upande gani
Maisha yetu yanaongozwa kiroho sana, hatuwezi kudate kila mwanamke kama wanyama wanaotafuta uzao, lust has killed a lot of men destinies, better find some and cherish her forever.Sijasoma mada ila nimesikitika sana
Jamaa anataka kuwa malaya kisa ana uwezo 😎Kwani wame mfanyaje Jamaa?
View attachment 3282109
Pambana na hali yakoView attachment 3316897
Nipo kwa waliwa😂🤣🤣
🤧Pambana na hali yako