Mwanaume panua options zako, never have a single option

Hilo neno Panua hapo kwenye heading limeleta Ukakasi.....

Labda ni akili zangu tuu kwenda resi, ila mwanaume ukiambiwa Panua chochote kile imekaa kiwalakini....🤔🤔🤔🤔

Mwanaume akiambiwa Tanua imekaa poa sababu kutanua unatumia nguvu, mabavu chochote kile hata madereva wanaoendesha barabarani wakatanua halafu kurudi barabarani kwa umakini ni rafu ila mchezo wa kiume huo, kininja flani hivi...

Halafu, Panua ndo wanawake hapo hata hutumii nguvu unajilegeza tuu tuu unapanua.....
Fikiria kupanua mdomo ung'olewe jino....

Tanua mfereji maji yapite mengi kuzuia mafuriko....

Hata sielewi nawaza nini, msinizingatie sana. Potezea huu ujumbe 😉.
Aisee...
 
Shikamoo, 😂!
 
Back
Top Bottom