Mwanaume simama kiume, haijalishi mkeo kakuzidi kila kitu usiachie nafasi yako kama mume

kiroka

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2018
Posts
358
Reaction score
1,887
Haijalishi mkeo kakuzidi umri, kipato au elimu usikubali mwanamke akuendeshe, usikubali dharau kutoka kwa mtu ambae unamvua nguo huo ni ubwege
Mwanaume uwe na principle zako kama hawezi kuzifuata Bora uachane nae aende kwa hao wanaume anaoona ni bora kuliko wewe.

Lakini kumnyenyekea mwanamke kisa ana vipesa vyake huo ni udhaifu bro, bora pengo kuliko jino bovu.

Mwanamke hata awe nani anahitaji mwanaume wa kumuongoza, mwanamke yeyote asiekua na mwanaume kama kiongozi atapotoka tu, mwanamke anahitaji mwanaume wa kumuongoza na kumwekea limitation kua hiki fanya au kile ucfanye,

Mwanamke anahitaji mtu wa kumcotrol muda kama muda gani awe wapi na nani vinginevyo akifanya anachotak anapoteza muelekeo
Hivyo mwanaume kama.mkeo hakusikilizi kiss Ana vijisenti vyake kuna mwanaume mwingine sehemu anamsikiliza, Bora umpige chini umpe nafasi, katafute maskini mwenzako atakaeweza kukusikiliza kama mwanaume,
 
Mtumeee.......nini kimetokea🙂
 
hivi mwanaume humvua nguo mwanamke au wanavuliana nguo?
 
Uliyosema ni muhimu ila Usisahau kutafuta hela kuboresha kipato na maisha yako na kuwajibika kwa kutimiza majukumu yako ya kifamilia kama mwanaume. Nadhani hii ndio maana halisi ya kusimama kiume.
 
Kusimama kiume huku mkeo kakuzidi kila kitu huo ni ukorofi, ukiona umezidiwa kila kitu ujue wewe ni mke
 
Back
Top Bottom