Mwanaume siyo handsome, hana pesa, siyo mstaarabu lakini ana mpini mkubwa. So what?

Mwanaume siyo handsome, hana pesa, siyo mstaarabu lakini ana mpini mkubwa. So what?

Noma sana... na cha kustaajabisha na kushangaza,unaweza kuyafanya yote hayo na bado ukachapiwa kawa kama... hawa viumbe hawana fomula bro.
Ni kweli mzee baba , Cha msingi fanya kadiri ya uwezo wako , tafuta hela kwa ajili ya watoto wako na kuhusu show piga ya saizi yako usijifisi ukaunguza ingini bure abiria akapanda gari nyingine, wanaume maisha mafupi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wanaume hasara taslimu. Mtu unawaza mpaka unajisemea tu "mwe hata huyu naye ananitaka.mwanzo wa mikosi"

Mkaka anakuja INBOX na mbwembwe zooooote. Anasema yeye ana Mpini mkubwa. Nami nmemjibu nina mchi mkubwa zaidi.

Wanaume wa siku hizi yaani haya uanaume hawana.wanadhani mwanamke anataka tu mpini mkubwa .....mi wa nini? Mwanamume mstaarabu,msomi,mwenye kupendeza na anayejua kupenda ndo mambo yote.

Kufika kileleni niwaambie kaka zangu kwa sisi wanawake ni hisia.wala si ukubwa wa uume wa mwanaume.hata kidole tu kinaweza nifikisha kileleni kama nakufeel.

Sijui mpini mkubwa ,mnene....wala.nendeni kwa hao ambao maeneo yao yashakuwa bwawa.mi nawashauri tu msije sema oooohh mamshuza ataka bwana.

Nina mume miye.nawaasa tu vijana wadogo ninyi mwahangaika sana na wanawake.badala ya kutafuta pesa,maisha na kuwa na siha njema.

Kanakuja kanaume hata afya yake tu inaonekana ina mgogoro.cha kutaka kufia kwangu? Akhaaaaaah. Mi nina afya yangu.kaning'inieni huko.mtuwache si wengine hatutaki shombo.

Huna pesa, siyo hendisamu,hupendezi,huna ustaarabu.mpini wako katwangie mahindi.nyooooooooh.jifunzeni uungwana.
Ni ukweli mtupu,ila unauma
 
wanatafuta pesa tu,wakipata mtu mwenye hela wanatulia hao mwanamke ni matunzo tu,gari kali,nyumba ya kuishi,na umpe mahitaji yake yote anayostahili pamoja na kumkunja sawa sawa,hapo umemaliza
Hadi jeff bozzes alikua anamawazo kama hayo



It's Scars
 
Pengine wanaweza tulia japo sio guarantee ila hapa tusiweke neno wala kupunguza tuhudumie ipasavyo ila tusisahau tamaa ipo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa na hela naona unakua uko matatani sana hata kiusalama huku adui yako namba moja akiwa wandani wako

Ishu ya bilionea msuya inaingia hapa

It's Scars
 
Pesa ni zaid ya oxgen

Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa sio tatizo, tatizo ni pesa ya kiwango gani itakayo mridhisha?

Wapo wanaoridhika na wewe endapo ndani hakutakua na njaa bila ya kua na magari wala majumba ya kifahari

Vile vile wapo wanaoweza kukuacha kwasababu huna hela ya kumnunulia iphone 11 pro max huku mahitaji muhimu ukiwa umemtimizia

It's Scars
 
Noma sana... na cha kustaajabisha na kushangaza,unaweza kuyafanya yote hayo na bado ukachapiwa kawa kama... hawa viumbe hawana fomula bro.
Hawana formula kweli sio utani

Ukiwa kanisani utaambiwa mwanamke mzuri ni yule mcha mungu

Ukiwa msikitini utaambiwa mwanamke mwema ni yule ambaye anajistiri kwa kuvaa vizuri pamoja na sala tano

Ukija kilingeni demu mzuri ni yule asiyepiga virungu

Ukija mtandaoni utaambiwa ili uweze kumpata na asijekukuacha we piga deki, piga shuti walau tatu golini za fasta fasta bila kufanya sub mixer na mkongo

Mara kibamia ndio kabisa hatuna uwezekano wa kudumu nao hawa viumbe

Huku tunasikia tajiri kauliwa kisa mke alikua na tamaa ya mali akataka mali zote ziwe zake, haya watoto wa marehemu nao wamechinjiwa ocean na mama yao kwa kupewa mgao mdogo

Sasa nini wanachotaka hawa jamaa?

It's Scars
 
Back
Top Bottom