Mwanaume siyo handsome, hana pesa, siyo mstaarabu lakini ana mpini mkubwa. So what?

Mwanaume siyo handsome, hana pesa, siyo mstaarabu lakini ana mpini mkubwa. So what?

xav bero, Hua nashangazwa sana na masela wanaojizatiti kutafuta pesa kwa dhana hiyo ya kusema "ukiwa na pesa hauta tendwa"

Watu hawa wanaweza wasipate motivation kutafuta pesa kwa bidii pindi ambapo ndugu yake kipenzi anaumwa na hakuna pesa ya matibabu



It's Scars
 
Nashukuru kwa kiasi flani umeniinua

Typed Using KIDOLE
 
Heeee!!! Umeelewa nini nimemaanisha lakini Mkuu? 😳

Nani kasema wanaume mnahangaika inamaana hamna wanawake wanaohangaika na hiyo January?

Labda nikuweke sawa Mkuu nilichomaanisha ni kwamba Mwezi January hakukuwa na nyuzi za namna hii wote tulikuwa busy kutafuta pesa.
Sawa, japokuwa sikuaminiamini vile, kwa namna ulivyouliza kwa kejeli niliona kama vile huwa mnaenjoy tunavyosuffer pale January,
 
Back
Top Bottom