MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Sio vzuri mnavyotunyanyapa hatujajiumba sisi hvyo tumejikuta tuko hvyo.Ni ushambaaa tuu limpini likubwa lakazi gani mwishowe likusogeze kizazi tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo palepale , akipata mwenye hela msemo unaendelea anachukua hela zako kutafuta tangoKumbe ile slogan ya mwanaume mashine haina maana tena...!!!
Jr[emoji769]
[emoji1]Demu ana bonge la tako lakini kichwani zero iq
Ni kweli mzee baba , Cha msingi fanya kadiri ya uwezo wako , tafuta hela kwa ajili ya watoto wako na kuhusu show piga ya saizi yako usijifisi ukaunguza ingini bure abiria akapanda gari nyingine, wanaume maisha mafupi.Noma sana... na cha kustaajabisha na kushangaza,unaweza kuyafanya yote hayo na bado ukachapiwa kawa kama... hawa viumbe hawana fomula bro.
Ni ukweli mtupu,ila unaumaKuna wanaume hasara taslimu. Mtu unawaza mpaka unajisemea tu "mwe hata huyu naye ananitaka.mwanzo wa mikosi"
Mkaka anakuja INBOX na mbwembwe zooooote. Anasema yeye ana Mpini mkubwa. Nami nmemjibu nina mchi mkubwa zaidi.
Wanaume wa siku hizi yaani haya uanaume hawana.wanadhani mwanamke anataka tu mpini mkubwa .....mi wa nini? Mwanamume mstaarabu,msomi,mwenye kupendeza na anayejua kupenda ndo mambo yote.
Kufika kileleni niwaambie kaka zangu kwa sisi wanawake ni hisia.wala si ukubwa wa uume wa mwanaume.hata kidole tu kinaweza nifikisha kileleni kama nakufeel.
Sijui mpini mkubwa ,mnene....wala.nendeni kwa hao ambao maeneo yao yashakuwa bwawa.mi nawashauri tu msije sema oooohh mamshuza ataka bwana.
Nina mume miye.nawaasa tu vijana wadogo ninyi mwahangaika sana na wanawake.badala ya kutafuta pesa,maisha na kuwa na siha njema.
Kanakuja kanaume hata afya yake tu inaonekana ina mgogoro.cha kutaka kufia kwangu? Akhaaaaaah. Mi nina afya yangu.kaning'inieni huko.mtuwache si wengine hatutaki shombo.
Huna pesa, siyo hendisamu,hupendezi,huna ustaarabu.mpini wako katwangie mahindi.nyooooooooh.jifunzeni uungwana.
Basi ni vizuri saana boss, kama unaweza mapambano mwenyewe.Sijambo kabisa Mkuu. Mi nipo bana napambana na hali yangu huku.
Pambaneni na wanao taka mikubwa si wengine hapana kwakweeliSio vzuri mnavyotunyanyapa hatujajiumba sisi hvyo tumejikuta tuko hvyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona Wadada Mnaaza kua Wakali baada ya Mtoto kuwapiga K'O
Ukiwa na hela naona unakua uko matatani sana hata kiusalama huku adui yako namba moja akiwa wandani wakoPengine wanaweza tulia japo sio guarantee ila hapa tusiweke neno wala kupunguza tuhudumie ipasavyo ila tusisahau tamaa ipo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hmmm!aiseeAhsante sana.
50+ sio mchezo dogo. Teh teh. [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Pesa sio tatizo, tatizo ni pesa ya kiwango gani itakayo mridhisha?
Hawana formula kweli sio utaniNoma sana... na cha kustaajabisha na kushangaza,unaweza kuyafanya yote hayo na bado ukachapiwa kawa kama... hawa viumbe hawana fomula bro.
Ndoa za mahali sikuhizi hazipo, kuna ndoa za ufahali ambazo mwisho wake ni majuto/Bado kuna mwanaume anaenda kutoa mahari hapa halaf anatamba kwa wenzie ana mke???
Sent using Jamii Forums mobile app