Mwanaume tafuta hela, acha kusema wanawake wanapenda hela hizo ni hasira za umasikini

Mwanaume tafuta hela, acha kusema wanawake wanapenda hela hizo ni hasira za umasikini

Hayanaga fomula haya
Wavulana wanakaza tu mafuvu nakati;

• Bill Gates/Tajiri aliyeshikilia rekodi ya kuwa no. 1 kwa muda mrefu sana kuliko Matajiri wote duniani aliachwa na Pisi Kali wake wa ndoa (Mke halali).

• Jeff Bezzos/Tajiri anayeshikilia nafasi ya 3 bora duniani aliachwa na Pisi Kali wake halali (Mke wa ndoa) aliyekaa naye kwa zaidi ya miaka 32 na alizaa naye Watoto wanne wote.

HITIMISHO:

✓ Mapenzi ni mapenzi na pesa ni pesa.

✓ Pesa haina eternal life insurance kuenzi penzi.

✓ Kutafuta pesa ni sawa ila kupata pesa ni jambo jingine.
 
Pesa sabuni ya roho,
Pesa ndio heshima,
Pesa inaondoa matatizo madogo na makubwa,
Pesa Pesa Pesa, tutafute Pesaaaaaa
 
Hata mzazi humuozesha bintiye kwenye Pesaaa,
Wewe kijana kama pesa huna zitafute kwa bidii usijipe moyo mambo ya Bill Gates, wewe tafuta Pesaaaaa tusijibweteke.
 
Wanawake ni kama ndege

Ndege anapotaka kutaga mayai hutafuta sehemu salama ili aweze kutaga mayai yake hvyo tusiwalaumu sana hawa viumbe kila mtu anapenda kuwa sehemu salama

Ila nachowaomba kama unapenda wenye hela wakumbuke wenye hela hawawez kula mbususu moja,
Nenda kwa mwenye pesa kwa ajili ya maisha yako,usitake kumfundisha namna ya kutumia pesa zake maana hata wewe upo ili utumie
Carleen, Antonia, Chakorii tafadhali naomba mjichukulie point 3 za msingi sana hizi [emoji116]

"Ila nachowaomba kama unapenda wenye hela wakumbuke wenye hela hawawez kula mbususu moja,
Nenda kwa mwenye pesa kwa ajili ya maisha yako,usitake kumfundisha namna ya kutumia pesa zake maana hata wewe upo ili utumie"
 
Binafsi naona umeongea upuuzi tu kwa sababu wenye helawote wanaongoza kulalamika mapenzi na kuachika..
Pesa ni pesa mapenzi ni mapenzi
 
Back
Top Bottom