Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Wakapige nyeto au wakawaombe ndugu zao.Nashangaa vijana wanataka papuchi halafu hela hawana!
Mwanaume hasifiwi ukubwa wa kende bali ni pesa tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakapige nyeto au wakawaombe ndugu zao.Nashangaa vijana wanataka papuchi halafu hela hawana!
Kafanywaje naeNaomba kuwasilisha;
Kuna tajiri mmoja huku Mwanza amejipiga risasi kisa mapenzi ..anazikwa kesho maeneo ya kona ya Bwiru
Hili nalo mkaliangalieTatzo flow ya hela inaanza kua nzuri ukizeeka[emoji28]
Sawa mkuuHata mzazi humuozesha bintiye kwenye Pesaaa,
Wewe kijana kama pesa huna zitafute kwa bidii usijipe moyo mambo ya Bill Gates, wewe tafuta Pesaaaaa tusijibweteke.
Kizazi cha leo hii Ke wanajisokomeza chupa, dildos n.k kwenye visusio vyao afu wakikutana na M.B.O halisi hawafikishwi kileleni na kuanza kuponda Me tuna viba100, sasa kwanini tusimchukulie Binadamu wa kwanza kuumbwa "Adam" kama Reference?Naona huna mpango wa kwenda mbinguni
Sijafuatilia kwa ndani aiseKafanywaje nae
Daah hii kaliKizazi cha leo hii Ke wanajisokomeza chupa, dildos n.k kwenye visusio vyao afu wakikutana na M.B.O halisi hawafikishwi kileleni na kuanza kuponda Me tuna viba100, sasa kwanini tusimchukulie Binadamu wa kwanza kuumbwa "Adam" kama Reference?
kwa wakati huo mifugo na mashamba ndo ulikuwa utajiri. Mungu kwanza Alimpa shamba na mifugo ndo akaoa. unaelewa hapo lakini?Wakati Adam anamuoa Hawa, alikuwa na sh ngapi bank? Alikuwa na nyumba ngapi? Alikuwa na magari mangapi? Alikuwa na digrii ngapi?
Baba yangu hakukimbia umande enzi zakeAnayeongea hivyo baba yake ni kapuku wa kutupwa
Ndo utafute pesa sasa upate hizo Grade A,Dr. Mariposa niliyokwambia jana
Tafuta pesaaa acha kujilinganisha na watu wa vitabu wa karne ya 0 wewe upo karne ya 21 na unaishi uhalisia sio kwenye vitabu,Wakati Adam anamuoa Hawa, alikuwa na sh ngapi bank? Alikuwa na nyumba ngapi? Alikuwa na magari mangapi? Alikuwa na digrii ngapi?
Mmmh nani huyo 😂😂😁😁Naomba kuwasilisha;
Kuna tajiri mmoja huku Mwanza amejipiga risasi kisa mapenzi ..anazikwa kesho maeneo ya kona ya Bwiru
😀😀👍Ndo utafute pesa sasa upate hizo Grade A,
Hakuna aliyekukatalia labda sijui wewe unaelewaje kuhusu pesa.