Mwanaume tafuta hela, acha kusema wanawake wanapenda hela hizo ni hasira za umasikini

Mwanamke Hajaumbiwa Shida Acha Wapende Hela Ukiweza Ku-provide, Provide Bila Kinyongo & Expecting Return.
 
Haya ni maneno ya mbwa mmoja aliue shiba minofu
 
Alafu Ukiwa Huna Hela unakuwa Na Hasira Sijui Zinatoka Wapi Watoto wazuri Wakikupitia karibu Unaona Kama HARAMU Au Najisi Vile
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…