Mwanaume tafuta hela ununue gari uwapelekee moto kwa chipsi kavu

Mwanaume tafuta hela ununue gari uwapelekee moto kwa chipsi kavu

Hahaha umeandika kwa hisia kama wanaume Wa jamii forum wote unawafahamu , Magari tunayo ila hatufanyi ujinga broh
Umemjibu vizuri.Hatumiliki magari ili kufanyia ufuska,tunamiliki magari ili kututrahisishia kazi zetu za hapa na pale.
 
Oya humu jf ni mm tu ambae sina gari au nazingua!
 
Leo nimewasili mjini Ushirombo nikaazima kitoyota allex. Yaani mpaka muda huu nishapelekea chuma barmaids watatu.

Hirizi ni funguo tu. Kesho nitakuwa nyakanazi.

Acha ujinga tafuta pesa.

Nb. Mimi nina madeni mengi.
Hivi kuna mwanaume jamii forum hana gari zaidi ya mimi na wewe? Hebu ambao hatuna magari tujuane.
 
Leo nimewasili mjini Ushirombo nikaazima kitoyota allex. Yaani mpaka muda huu nishapelekea chuma barmaids watatu.

Hirizi ni funguo tu. Kesho nitakuwa nyakanazi.

Acha ujinga tafuta pesa.

Nb. Mimi nina madeni mengi.
Magari yana mambo mengi
 
We unahisi mleta mada Yuko sawa?Kuna mawili hapa, either aendelee na dozi au aanze dozi
Yuko sawa. Hiyo ni hatua tu katika mapito ya maisha wanaume wengi huwa tunapitia.

Hatua yenyewe ni kwamba uchumi ukikua kuna mambo mapya hutokea katika suala zima la jinsi watu wanavyokupokea, ikiwemo mademu.

Sasa gari ni habari nyingine. Kama ulikuwa huna gari, ukinunua gari utaona mabadiliko ya jinsi madem wanavyokuchukulia.

Mfano ukiwa kwenye gari umeshika usukani idadi ya madem ambao wakipita wanakutazama inaongezeka. Na wengi wao wanakutazama ili tu uwaotongoze.

Na ukiwa na gari utagundua kwamba idadi ya madem wanaokuitikia vizuri ukiwaita na wanaokukubalia ukiwatongoza pia huongezeka. Na huhitaji kujieleza saaaana au kuwabembeleza saaaana kama una gari.

Kama huna gari madem wa mjini ni wasumbufu aisee. Inabidi ubembeleze weeeee na ufanye kumrubuni na kumtega ndo umlale.
 
Back
Top Bottom