de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 2,044
- 4,558
Kama huna kitu, huna thamani na huo ndo ukweli. Hasa kwa sisi wanaume thamani yetu inaambatana na mafanikio tuliyo yapata kwa juhudi na maarifa yetu.
Vijana wengi tunapoteza valuable time kudiscuss vitu visivyo na manufaa, toka nje kapige kazi, hakuna kitu kitakuja kwa kukaa siku nzima uki scoll kwenye simu yako udaku, porn, social media na dating sites. Hakuna mwanamke anayependa mtu fukara.
Wanaume wengi tumejikuta tukiingia kwenye kuamini hakuna upendo wa kweli, ilhari tunajua nature ya mwanamke ni kupenda mwanaume atakaye kidhi mahitaji yake na familia. Vijana wengi wapowapo tu, kazi kuishi kuiga wazungu na lifestyle za kishua. Acheni ulimbukeni usio na tija, nashangaa kijana unamilikia simu ya 3m na kiwanja huna, huna hata biashara yoyote na uko kwenu. Hivi wewe ndo wakuweza kutunza na kulea familia?
Valuable men don't talk much they take actions. Anza kuchukua hatua kila siku kutimiza ndoto zako. Haijalishi unafanya nini, sidhani unaweza kosa fursa au nyenzo za kuanzia, tatizo watu tunapenda kuanzia pakubwa, et nataka kama million 10 hv, ndo uhakika. Stop wasting valuable time ukisubiri kupata mtaji mkubwa. Start small.
Kama hauna mali hauna thamani, mwanaume kaza. Hakuna mwanamke atakae kupenda jinsi ulivyo trust me hakuna. Physical appearance ya mwanaume haina tija kwa mwanamke kama uko broke hauna mvuto, it's all about the paper. Ni hayo tu, tupige kazi wakuu... am out🚶