EEX
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 3,781
- 12,091
We fanya shughuli zako ,ishi maisha yako ,take control ya maisha yako hata kama una kula mlo mmoja.Jenga nyumba yako hata kama ya tope.Timiza majukumu yako kama mwanaume kama una familia na usimsahau mama yako.Utaishi kwa heshima.
Hauna haja ya kuwaimpress wanawake kwa vipesa uchwara na vijeans vya kichina na raba .Anaetaka kuja kwenye maisha yako atakuja tu.Ila pesa muhimu .Naunga mkono hoja .
Hauna haja ya kuwaimpress wanawake kwa vipesa uchwara na vijeans vya kichina na raba .Anaetaka kuja kwenye maisha yako atakuja tu.Ila pesa muhimu .Naunga mkono hoja .