Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
wanaume wa kiwagogo wanavaa hereniHereni ni mapambo na niutamaduni wa mwafrika,njoo ugogoni,usukumani,na umasaini n.k
Wengine wamerithi tabia za dada zao.Kuna jambo huenda watu wengi hawalifahamu . Umewahi kujiuliza mwanaume ujasiri wa kusuka kichwa anautoa wapi?
Umewahi kujiuliza mwanaume ujasiri wa kuvaa hereni masikioni au puani anautoa wapi?
Jibu ni hili hapa chini πππ
Mkuu wa Dunia hii almaarufu Shetani ibun Ibilisi ndiye anayewapa ujasiri. Vijana wanaohangahika kutafuta umaarufu bila kujua kuwa kuna ibilisi ndiye mgawa umaarufu, shetani anawapa huo umaarufu lakini masharti yake ni wawe wajumbe wa mapenzi ya ya jinsia moja.
Zoezi linalofuata kumwagiwa hiyo roho chafu pamoja na umaarufu na kila wanapotazamwa kwenye runinga , simu na sehemu zingine automatically roho chafu za ushoga na kubadili jinsia zinamwagwa kwa watazamaji.
Eti leo kuna taasisi zinatetea haki ya mtu au mtoto kuchagua jinsia yake.
Soma Pia:
Mtoto anazaliwa ni wakiume lakini anaambiwa yuko free kuchagua gender. Huu ni ushetani.
- Mmomonyoko wa maadili na maendeleo ya Taifa la Tanzania
- Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako
Mtoto anazaliwa ni wa kike lakini anaambiwa yuko free kuchagua gender. What satanic is that!!
Mbona hatari hiiWengine hao kutoka kigamboni πππ
umerudi mbna unapotea.poteaNataka nianze kuvaa WIGI kabisa, ngoja nitafute WIGI MACHACHARI kama la ROZI MUHANDO, aisee ntaupiga mwingi.
Nataka wigi linalonesa nesa niwe najichetua kichwa kama mzungu koko.
Nyie madume ya chura mtanikoma, lazima mdindishe hadi mboro zipasuke maninaaa.
Cc: Lamomy mshamba_hachekwi Extrovert Yohimbe bark Mzee wa kupambania min -me dronedrake Poor Brain
Kwahiyo kwa akili zako kitu akifanya mzungu au black American it's just culture tu hata kama ni matendo ya ushogaHakuna uhusiano wowote wa kusuka , kuvaa hereni na ushoga ...
Kwa wengine huo ni utamaduni wao .
Japo ukisuka na kuvaa hereni halafu huna pesa unaonekana kama umechanganyikiwa hivi...