Mwanaume ujasiri wa kusuka na kuvaa hereni anautoa wapi?

Mwanaume ujasiri wa kusuka na kuvaa hereni anautoa wapi?

Mission ya kupunguza wanaume duniani imeshika Kasi kubwa,

Nia ni kuitawala Ulimwengu kirahisi, maana Mwanaume mvaa hereni ,shoga au mla chips Si Rahisi kuhoji au kusimama kiume kwenye lolote.
Malinda hayapo salama kwa walamba lips wote mjini wakibanishwa kwenye angle wanaachia jicho lipigwe mwanao wa kiume usimruhusu awe na tabia za kulamba lips atachezea mipini
 
Nataka nianze kuvaa WIGI kabisa, ngoja nitafute WIGI MACHACHARI kama la ROZI MUHANDO, aisee ntaupiga mwingi.

Nataka wigi linalonesa nesa niwe najichetua kichwa kama mzungu koko.

Nyie madume ya chura mtanikoma, lazima mdindishe hadi mboro zipasuke maninaaa.

Cc: Lamomy mshamba_hachekwi Extrovert Yohimbe bark Mzee wa kupambania min -me dronedrake Poor Brain
Kipenzi una mental defect hauko sawa.
Wengine watahisi umelogwa au umelaaniwa ila mim siamin ktk hayo.

Unatia huruma sana na unahitaji msaada.

Najua baada ya hii comment yangu ndo utazidi kujidhalikisha kwa kuandika maujinga yako kuonyesha hujali huku ukijisapoti na ID zako zingine ila tambua you are not as covered as you think .Hebu jisaidie sbb unaweza
 
Mission ya kupunguza wanaume duniani imeshika Kasi kubwa,

Nia ni kuitawala Ulimwengu kirahisi, maana Mwanaume mvaa hereni ,shoga au mla chips Si Rahisi kuhoji au kusimama kiume kwenye lolote.
Mbona nyie wenyewe malijari mnashindwa kuhoji, na kusimama kiume ktk mambo ya maslahi ya umma, zaidi ya kubwataa mtandaoni??

Mmevurugwaaaa.
 
Unadhani yule dogo wa usafini alipata wapi ujasiri wa kwenda kupakwa kilainishi kule kwa unyamwezini
 
Mbona wanaume wa Ulaya na Marekani ndio wana uwezo mkubwa zaidi wa kuhoji na kusimama kiume tofauti na wanaume wa bongo??
Hebu semaa wewee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mashoga maarufu tunaowaona mitandaoni na hapa Tanzania wala hawasuki. (Refer kwa list ya Dudubaya na partners wa Diddy Combs)
Wanakata nywele na kuvaa smart tu..

Kusuka hakuna uhusiano wowote na ushoga.

Kwenye International Schools, watoto wanasuka nywele (wakipenda), na wala si mashoga.

Wamasai wengi tu Wanasuka nywele, wanavaa vikuku n.k na si mashoga.

List ni ndefu..

Ni watu wasio na uelewa mpana tu ndiyo hudhani kila mtu duniani anafikiri kama wao.
Wabongo wengi ni slow learners, ni wa kuwapuuza tyuuh.
 
Mission ya kupunguza wanaume duniani imeshika Kasi kubwa,

Nia ni kuitawala Ulimwengu kirahisi, maana Mwanaume mvaa hereni ,shoga au mla chips Si Rahisi kuhoji au kusimama kiume kwenye lolote.
Ondoa mla chips! Kula chips haijawahi kuwa dhambi.
 
Back
Top Bottom