Mwanaume ujasiri wa kusuka na kuvaa hereni anautoa wapi?

Labda kwa mikoa ya pwani na kusini lakini makabila ya baadhi ya kaskazini na katikati mwa Tanganyika kutoboa masikio na kusuka kwa wanaume tena baba wa familia ya wake watatu na zaidi ilikua jambo la kawaida kabisa hata baadhi mpaka sasa.
Tamaduni za Umagharibi na umashariki zinafanya leo uone huo ni ushetani
 
Mission ya kupunguza wanaume duniani imeshika Kasi kubwa,

Nia ni kuitawala Ulimwengu kirahisi, maana Mwanaume mvaa hereni ,shoga au mla chips Si Rahisi kuhoji au kusimama kiume kwenye lolote.
Mbona wanaume wa Ulaya na Marekani ndio wana uwezo mkubwa zaidi wa kuhoji na kusimama kiume tofauti na wanaume wa bongo??
 
Mashoga maarufu tunaowaona mitandaoni na hapa Tanzania wala hawasuki. (Refer kwa list ya Dudubaya na partners wa Diddy Combs)
Wanakata nywele na kuvaa smart tu..

Kusuka hakuna uhusiano wowote na ushoga.

Kwenye International Schools, watoto wanasuka nywele (wakipenda), na wala si mashoga.

Wamasai wengi tu Wanasuka nywele, wanavaa vikuku n.k na si mashoga.

List ni ndefu..

Ni watu wasio na uelewa mpana tu ndiyo hudhani kila mtu duniani anafikiri kama wao.
 
hili swali ukiwauliza masai itakuwa vyema sana maana wanasuka na wanaweka hereni!,hapo na wanaua simba haitoshi wanawake wao wananyoa upara!..😁
 
Hao wanaume wa ulaya,Wanakataa USHOGA?
Namaanisga mashoga wa ulaya na Marekani wanasimama kidete kwa matumizi sahihi ya kodi za raia na freedom of speech kuliko wanaume wasio mashoga bongo.
 
Namaanisga mashoga wa ulaya na Marekani wanasimama kidete kwa matumizi sahihi ya kodi za raia na freedom of speech kuliko wanaume wasio mashoga bongo.
Wewe ni shoga?

Na ikiwa u shoga, unaamini kudai HAKI , kukemea RUSHWA na u adhirifu bila kujua kuwa USHOGA ni machukizo na hatari juu ya mustakabali wa vizazi vijavyo ni uamuzi sahihi?
 
Wewe ni shoga?

Na ikiwa u shoga, unaamini kudai HAKI , kukemea RUSHWA na u adhirifu bila kujua kuwa USHOGA ni machukizo na hatari juu ya mustakabali wa vizazi vijavyo ni uamuzi sahihi?
Mbona mnatamani kuwa kama Ulaya na Marekani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…