Msijali mkuu, si huwa mnasema huwa tunasamehe!!Hizi siku mbili tatu naona kidogo niwaletee mada za mahusiano tujadili sisi watu wazima.
Suala la kuchepuka kwa kawaida ni uhalifu ndiposa wanaofanya hivyo hutakiwa kufanya kwa kificho ( sichochei bali nataka nitoe tahadhari kwa tajiriba yangy ya maisha niliyoshuhudia na kuona au kuhisi)
Matokeo hutokana ma mwanamke uliye naye na hapa nitajaribu kuweka katika makundi kadhaa .
1. Wapo wanawake wanaolipa kisasi kwa kuchepuka na wao, bahati mbaya ni kuwa wao hufanya kwa hasira bila kujali afya zao sasa akikutana na mtu mwenye maambukizi halafu akarudi kwako tayari nawe unapata madhara. Rejea uzi wa kimasihara
2. Wapo wanawake wanaokutega uanze wewe ili wapate sababu yakufanya nawao. Kawaida mwanamke ni mtu mwenye hofu kufanya makosa lakini akiona wewe umeanza anapata ujasiri ,, sio ajabu kusika mwanamke anakwambia hapend mtu ambaye hachepuki sio kwamba yeye ni mwema bali naye anatafuta apate nayeye sababu ili asijisikie hatia atakapofanya nayeye, mwanamke wa aina hii akiona hakamati nyendo zako mbaya atachukia sana na anaweza kukwambia wazi wazi thadhari ni ile ile mwanamke hajui kujilinda kulinda afya yake.
3. Wapo wanawake wanyonge ambao hawawezi kufanya lolote lakini atakusubiri nawewe siku uwe mnyonge apate nafasi ya kulipa kisasi, mfano umeugua au umezeeka ,, wazee wengi walio waumiza wake zao enzi za ujana hukumbana na mtihani sana wakukataliwa au umeugua ,, hii nimewahi kuiona sehem kadha wakadha
4. Wapo wanawake wanaojibu hapo kwa hapo kama vile kutumia silaha na kadhalika kama ni mfuatiliaji wa vyombo vya habari sio ajabu kusikia mwanaume amekatwa viungo vya siri na kadhalika. Mwanaume kuwa makini
5. Wapo wanawake wanaopoteza hisia za mapenzi moja kwa moja na wewe unakuta mnaishi lakini mwenza wako ameshapoteza hisia nawewe moja kwa moja na kama ni mjanja lazima uta notice mabadiliko .
Wazoefu wa mahusiano watakuja kuongeza nyama kwenye huu uzi .wewe rejea kusoma title tena π€£
Mkuu ulikuwa umefuga shetani ndaniKatika kitu ambacho siwezi kusahau ni hicho. Alininywesha sumu kidogo nikate roho. Huu mwwka wa 8 Sina make na sihitaji hao viumbe waskiage tu
Kila la heri zenu mkuuIpo hivyo meku, sasa nina mdada na tunapendana kwanini nichepuke
Kwanini uwe na mpenzi au mke halafu uchepuke ? , yawezekana tumetofautiana sana ila Binafsi sioni sababuKila la heri zenu mkuu
Nikweli mkuu sisi huwa tunatimua hapo sasa ina nafuu kuliko kuishi na mtu mwenye kisasiVice versa.
Mwanamke ndo hujiweka hatarini zaidi anapochepuka.
Kwa sababu akigundulika ndoa chali na mwanaume anavuta chuma kingine.
Shindii huo ni ukweli kabisa , hakuna kitu niko makini kama mapenzi kwasababu mimi najijua nikipenda nimependa kweli.Shindii acha uongo.
Pole mkuuKatika kitu ambacho siwezi kusahau ni hicho. Alininywesha sumu kidogo nikate roho. Huu mwwka wa 8 Sina make na sihitaji hao viumbe waskiage tu
Namtafuta mganga wa mashirimaπ€£π€£Shindii huo ni ukweli kabisa , hakuna kitu niko makini kama mapenzi kwasababu mimi najijua nikipenda nimependa kweli.
Shindii msake tu, ila kiukweli ego yangu inaniepusha n mengi πNamtafuta mganga wa mashirimaπ€£π€£
Kesho asubuhi na mapema namuibukia mashirima.Shindii msake tu, ila kiukweli ego yangu inaniepusha n mengi π
Shindii , kujiamini na kujikubali ni Vibya?Kesho asubuhi na mapema namuibukia mashirima.
Acha kiburi shindii.
Sio vibaya, ila kiburi ni kibaya.Shindii , kujiamini na kujikubali ni Vibya?
ππ Shindii , sio kiburi nikujikubali tuSio vibaya, ila kiburi ni kibaya.
Kuna mstari mwembamba sanaaaaa shindiiπ€£π€£ππ Shindii , sio kiburi nikujikubali tu
Wanaume hatujawahi kuwa wacheche. Nioneshe mwanamke ambaye aliyefika miaka 30 na bikra yakeπ€£ labda awe havutii ata kichaa ,,Jmn wanaume wenyewe wachache acheneli ubinafsi wengine tubaki single ndo furaha yenu?πππππ