Mwanaume ukichepuka, mke au mpenzi akijua unajiweka hatarini

Unachokitafuta kwa hawara,kuna mtu anakipata kwa mkeo
 
Wanaume hatujawahi kuwa wacheche. Nioneshe mwanamke ambaye aliyefika miaka 30 na bikra yake🤣 labda awe havutii ata kichaa ,,
Ooh, really? Mko wengi kumbe???takwimu unafuatilia kweli?
Ktk hao wanaume toa mapadri, toa mashoga , toa wenye matatizo (mahanisi), toa ambao wazima tu ila hawataki kuoa,team kataa ndoa😆,etc haya niambie hao wengi wako wapi? Huwezi pingana na ukweli kuwa timamu ni wachache compare to us 😆

Btw, bikra na huo umri vina husband nn, sijaelewa?
 
Sasa akilipa kisasi si nawe unampandisha cheo mcheps tu awe ndio mchuchu mkuu...
Inategemea hicho kisasi amekilipaje. Chukulia mfano kakata "kizinio" chako!

Sikia,Mwenye uchungu wa kulipa kisasi huwa anafanya kile ambacho hasira yake imemtuma kufanya. Usijidanganye kwamba atafanya unachokifikiria wewe!
 
Una ndugu yako yoyote ambaye yupo kwenye hayo makundi uliyotaja? Je kwa upande wa wanawake kila mwanamke yupo tayari kuingiliwa? hawapo wanaojihusisha na mapenz haramu? je unajua wanawake wengi ni over 50 years ambao kimsingi hamu ya tendo la ndoa inapotea tofauti na sisi wanaume tunaofanikiwa kuishi katika huo umri ? Unafahamu wanaume wengi ni vijana na wanapotea kwenye uso wa dunia under 50% ukishajibu haya maswali nenda kaangalie takwimu sasa. World population by gender halafu uje tujadili. Halafu kwanza mashoga sio wanaume na wala usiwaweke kwenye kundi la wanaume na wala hawahesabiki kama wanaume 🤣 mnamwitaje mtu mwanaume wakati analiwa. Huko nchi nyingine sijui wanaitwa trans gender sina hakika sana kama nimepatia
 
Utafiti
huu upo sahihi 💯 %
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…