Wakuu,
Hebu tuachane na story za yule mpuuz jana katutia aibu sababu ya utoro wake kutohudhuria vikao,barua yake ya kumfuta uanachama iko tayari, itamkuta uko uko aliko.
Kila Mara kwny vikao vyetu tunasema, Leo narudia,Tena kwa msisitizo zaid:-
Mwanaume ukishakua mchepukaji lazima uwe na plan B unatoka vipi siku Ukifumaniwa unachepuka.
Sio unaanza kuweweseka, kubabaika na kuanza kujieleza Sana ukiomba misamaha kisa hofu ya kuachwa.
Mwanamke mpk anakufumania uyo anakupenda sana na hayuko tayar kukuacha. Lengo la kukufumania Ni kumkomesha uyo mchepuko wako atie adabu na sio Wewe.
Sasa unapojishusha unampa mfumaniaji confidence ya kukufanyia atakavyo eneo la famanizi ikiwemo kukudhalilisha na kuhatarisha usalama wako pamoja na usalama wa uyo Mchepuko wako.
Unachotakiwa KUFANYA Ni kujiamini, kuuvaa mfumo dume na kutumia UBABE kias ulioambatana na mkwara wa akili zaidi kutoroka eneo la fumanizi salama salmini mbele ya mfumaniaji kuepusha kudhalilika, madhara kwako na Mchepuko wako.
NB: Ukiona analeta usumbufu sana hata vibao kias vinaweza kumhusu shavuni ili mradi utoke eneo la tukio salama salmin na usidhalilike Zaid.
Kama Kuna la kujadili, sio eneo la fumanizi, Basi mtakutana uko uko nyumbani. Na uko utaratibu Ni ule TU, KUKANA SHTAKA 100% , hata Kama ulikutwa LIVE mapajani unafanya mapenzi.
BINAFSI,
MWANAMKE YEYOTE ASIJE THUBUTU KUNIFUMANIA, WALIONIFUMANIA WOTE WAMEPATA MATOKEO TOFAUTI NA WALIYOTARAJIA ENEO LA FUMANIZI
Nawasilisha[emoji1431]