wao ni wao
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 1,179
- 2,807
Sasa hapa nimekuelewa japo nakumbuka fedhea na aibu kwa yaliyopita .Binafs sijawahi tembea na MKE wa mtu
Ila huwa nasema endapo nimefumaniwa,
Niko cornered sn na sioni pa kutokea, uyo mfumaniaji Kama kaziba Njia ajiandae kula ngumi kubwa ya uso au chochote kilichokaribu nimpasue usoni nitoroke eneo la tukio.
Kama Kuna la KUONGEA,
Tutajua uko uko polisi au mahakamani. Tutayazungumza, ntalipa fidia yataisha[emoji4]
Aisee,
BORA LAWAMA, KULIKO FEDHEA ya FUMANIZI[emoji1]
Shukran kuwaita mkuu,Kuna wadada wamechangia vizuri sana kwenye ule Uzi wa mhe! Aliyetuangusha natamani waje watoe madini hapa luckyline Joanah mama D hawa wanawake they are bright [emoji109][emoji109] na huyu bianca2023
Sio balozi,huyu anakaribia cheo cha UKOMANDO,ila ajuwe hata makomando nao huwa kuna siku wanaharibu,hapa ni shetani tu,anakufichia mbinu zako zote unashangaa siku ya tukio unafanya madudu...Balozi wa uzinzi katika ubora wake🤣🤣
Tupe tips
Ila inaonesha jamaaa mke wake ndio mwenye nguvu na mwenye sauti hata ndani ya ndoaUzembe na unyonge wa hali ya juu sana[emoji4]
Hilo ni somo la siku ingine...Viuno viwe na taa,maana ake nn mkuu[emoji1]
Kwanza mwanamke anapata wapi ujasiri wa kunifata kwa hotel aiseee… anarudi na taraka zake za kutoshaKeshalishwa vitu,Uoga gan wa kipuuzi ule
Keshapoteza sifa za kua mwanachama[emoji3525]
Hapana mkuu,Sio balozi,huyu anakaribia cheo cha UKOMANDO,ila ajuwe hata makomando nao huwa kuna siku wanaharibu,hapa ni shetani tu anakufichia mbinu zako zote unashangaa siku ya tukio unafanya madudu...
Kwaio tusikimbie.....😊😊🤓🤓Wakuu,
Hebu tuachane na story za yule mpuuz jana katutia aibu sababu ya utoro wake kutohudhuria vikao,barua yake ya kumfuta uanachama iko tayari, itamkuta uko uko aliko.
Kila Mara kwny vikao vyetu tunasema, Leo narudia,Tena kwa msisitizo zaid:-
Mwanaume ukishakua mchepukaji lazima uwe na plan B unatoka vipi siku Ukifumaniwa unachepuka.
Sio unaanza kuweweseka, kubabaika na kuanza kujieleza Sana ukiomba misamaha kisa hofu ya kuachwa.
Mwanamke mpk anakufumania uyo anakupenda sana na hayuko tayar kukuacha. Lengo la kukufumania Ni kumkomesha uyo mchepuko wako atie adabu na sio Wewe.
Sasa unapojishusha unampa mfumaniaji confidence ya kukufanyia atakavyo eneo la famanizi ikiwemo kukudhalilisha na kuhatarisha usalama wako pamoja na usalama wa uyo Mchepuko wako.
Unachotakiwa KUFANYA Ni kujiamini, kuuvaa mfumo dume na kutumia UBABE kias ulioambatana na mkwara wa akili zaidi kutoroka eneo la fumanizi salama salmini mbele ya mfumaniaji kuepusha kudhalilika, madhara kwako na Mchepuko wako.
NB: Ukiona analeta usumbufu sana hata vibao kias vinaweza kumhusu shavuni ili mradi utoke eneo la tukio salama salmin na usidhalilike Zaid.
Kama Kuna la kujadili, sio eneo la fumanizi, Basi mtakutana uko uko nyumbani. Na uko utaratibu Ni ule TU, KUKANA SHTAKA 100% , hata Kama ulikutwa LIVE mapajani unafanya mapenzi.
BINAFSI,
MWANAMKE YEYOTE ASIJE THUBUTU KUNIFUMANIA, WALIONIFUMANIA WOTE WAMEPATA MATOKEO TOFAUTI NA WALIYOTARAJIA ENEO LA FUMANIZI
Nawasilisha[emoji1431]
Umefumaniwa hata siku mojaWakuu,