Mwanaume Ukifumaniwa unachepuka, usikimbie

Uanaume ni mikazo,kaza mpaka tone la mwisho,kaza kweli kweli

Sent from my V2204 using JamiiForums mobile app
 
Sio balozi,huyu anakaribia cheo cha UKOMANDO,ila ajuwe hata makomando nao huwa kuna siku wanaharibu,hapa ni shetani tu anakufichia mbinu zako zote unashangaa siku ya tukio unafanya madudu...
🤣🤣🤣🤣Ipo siku atadakwa kizembe sana ....ni vle tu huku atatupa story ambazo yeye anakua kama sterling kwenye movie za kihindi lazima ushinde
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ipo siku atadakwa kizembe sana ....ni vle tu huku atatupa story ambazo yeye anakua kama sterling kwenye movie za kihindi lazima ushinde
Kudakwa kivipi Sasa,

Kwamba MKE wangu atanizid Nguvu au vipi?

Kwamba atanipiga sindano ya ganzi au vipi?

Cha kwanza unapofumaniwa ni usalama wa Mchepuko wako, maana yeye ndo vurnerable target number one.

Ukizubaa anauwawa afu tukio linasambaa unadhalilika na Kesi kibao kuhudhuria mahakamani.

Pia mkeo anaweza fungwa jela kwa uzembe wako kutochukua hatua za kiume.

Mwanaume unapochepuka lazma uwe na vision, sio uongozwe na mihemko[emoji4]
 
Kama Kuna la kujadili, sio eneo la fumanizi, Basi mtakutana uko uko nyumbani. Na uko utaratibu Ni ule TU, KUKANA SHTAKA 100% , hata Kama ulikutwa LIVE mapajani unafanya mapenzi
😁😁😁
Unamwambia alikufananisha!
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
Unamwambia alikufananisha!
Ntajitetea ulikua mgomba ule,
Nilichukuliwa msukule haikua akili yangu

Hukumbuki lile tukio la mzee wa ufufuo,
alikana haukua mkono wake,ulkua mkono wa baunsa ule[emoji1787]
 
Mwenye PhD yake kasaliti vikao vyenu mchana kweupe[emoji1787]
 
Nilishawahi kufumaniwa na ex wife wangu mzungu nikamwambia baby sijafanya chochote na huyu mwanamke cause I identify my self as a transgender since yesterday mzungu akapanic ila akaogopa kunizungua maana angeonekana ni transforbic ,na transphorbia Kwa jamii yake ni sirias offence, chukueni notice apa wanandoa wakware
 
Dada hapa ndio ule mstari wa mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake,bali mpumbavu hubomoa kwa mikono yake mwenyewe,

Mithali 14:1-18

Mwanamke unaenda vipi kumfumania mume ilhali bado wamtaka?sitaki aibu Mimi kwenye familia yangu
 
DP wewe unajielewa ,,,wengine wangekuachia fani yako Kwa kweli😂😂😂wenzio waoga
 
Dada hapa ndio ule mstari wa mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake,bali mpumbavu hubomoa kwa mikono yake mwenyewe,

Mithali 14:1-18

Mwanamke unaenda vipi kumfumania mume ilhali bado wamtaka?sitaki aibu Mimi kwenye familia yangu

Na hapa ndio utakuta ule ujinga alonao mwanamke ndio unaomsukuma mwanaume kutafuta michepuko, ambapo anaishia kufumaniwa, anakimbia kisha anapata ajali mwisho afe kabisaaa

Wanaume oeni wanawake wenye uwezo wa kutatua matatizo ya familia. Makalio hata uturuki yanauzwa🙄🙄
 
Dada hapa ndio ule mstari wa mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake,bali mpumbavu hubomoa kwa mikono yake mwenyewe,

Mithali 14:1-18

Mwanamke unaenda vipi kumfumania mume ilhali bado wamtaka?sitaki aibu Mimi kwenye familia yangu
Mkuu Hii comment ya mama D umeiquote kutoka wapii? Mbona sijaiona?
Au mods wameifuta?[emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…