Mwanaume ukigundua mpenzi wako ana mpenzi mwingine anayemuhudumia na wewe huna uwezo huo utamsamehe?

Inategemana Nina Nia gani na wewe ....Kama nilikufanya wa kutafunwa tu nasamehe uendelee kuhidumiwa ili niendelee kukitafuna kikojoleo chako.....
.ila Kama nilitaka kukufanya mke itabidi upigwe chini.
Kazi ipoπŸ™Œ
 
Maandiko yanaeleza :Ufu 2:10

Ufu 2:10 B

"Uwe mwaminifu hata kufa, nami nitakupa taji ya uzima".

Elewa kuwa dhambi Haina excuse!!
 
Mapenzi ni hisia.....

Ni Jambo gumu kuongelea suala linalohusu hisia za watu wawili kwani hakuna mizani inayotoa jibu sahihi......


Ukweli wa uamuzi utabaki kwa huyo "MWANA" anayetafuniwa kwa sababu ni "apeche alolo".....🀣

There are ALPHA and BETA MALES....

Alpha males wagumu sana kukubaliana na hizo scenario na huwa hawavumilii hizo "mambo hata kidogo" kwani hawadhaliliki kutokana na WANAWAKE/MAPENZI🀣🀣
 
Sasa hapo kupendana sana kuna toka wapi ndugu, hapo upendo haupo, maana upendo huvumilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…