Mwanaume ukigundua mpenzi wako ana mpenzi mwingine anayemuhudumia na wewe huna uwezo huo utamsamehe?

Mwanaume ukigundua mpenzi wako ana mpenzi mwingine anayemuhudumia na wewe huna uwezo huo utamsamehe?

Inategemana Nina Nia gani na wewe ....Kama nilikufanya wa kutafunwa tu nasamehe uendelee kuhidumiwa ili niendelee kukitafuna kikojoleo chako.....
.ila Kama nilitaka kukufanya mke itabidi upigwe chini.
Kazi ipo🙌
 
Wakuu habari,

Imetokea wewe kijana wa kiume una mpenzi ambae anafanya kazi mkoa tofauti na uliopo wewe yupo na mahusiano na mtu mwingine aliekaribu nae utamsamehe?

Ni hivi, kijana hana uwezo kiivo kuweza kutimiza mahitaji ya binti, binti anakua na mahusiano mengine ambayo anatimiziwa kila kitu na huyo jamaa yake na siku kadhaa wamekua wakitembeleana wapatapo nafasi.

Sasa kijana wa kiume anagundua kuwa mpenzi wake ana mpenzi mwingine though mnapendana sana.. na ukijiangalia wewe wa kiume huna uwezo..

Je utafunika kombe mwanaharam apite? Au utamuacha binti?
Maandiko yanaeleza :Ufu 2:10

Ufu 2:10 B

"Uwe mwaminifu hata kufa, nami nitakupa taji ya uzima".

Elewa kuwa dhambi Haina excuse!!
 
Mapenzi ni hisia.....

Ni Jambo gumu kuongelea suala linalohusu hisia za watu wawili kwani hakuna mizani inayotoa jibu sahihi......

Ukweli wa uamuzi utabaki kwa huyo "MWANA" anayetafuniwa kwa sababu ni "apeche alolo".....🤣

There are ALPHA and BETA MALES....

Alpha males wagumu sana kukubaliana na hizo scenario na huwa hawavumilii hizo "mambo hata kidogo" kwani hawadhaliliki kutokana na WANAWAKE/MAPENZI🤣🤣
 
Wakuu habari,

Imetokea wewe kijana wa kiume una mpenzi ambae anafanya kazi mkoa tofauti na uliopo wewe yupo na mahusiano na mtu mwingine aliekaribu nae utamsamehe?

Ni hivi, kijana hana uwezo kiivo kuweza kutimiza mahitaji ya binti, binti anakua na mahusiano mengine ambayo anatimiziwa kila kitu na huyo jamaa yake na siku kadhaa wamekua wakitembeleana wapatapo nafasi.

Sasa kijana wa kiume anagundua kuwa mpenzi wake ana mpenzi mwingine though mnapendana sana.. na ukijiangalia wewe wa kiume huna uwezo..

Je utafunika kombe mwanaharam apite? Au utamuacha binti?
Sasa hapo kupendana sana kuna toka wapi ndugu, hapo upendo haupo, maana upendo huvumilia
 
Back
Top Bottom