Mwanaume ukishajijua una kibamia, fanya haya yafuatayo kila kitu kitaenda sawa

Mbona sijaona neno hela hapo kwenye maelezo yako?
 
Kwakua mtu hujichagulii kuwa na kibamia hivyo lazima ujikubali, watu wengi wanasema sex sio muhimu ila hakuna kitu inauma kama uambiwe na demu humridhishi au unakibamia na vile ulishajiaminisha namkoleza
Binafsi hiyo kitu haiwezi kuniumiza kwa huo ukubwa uliouonesha.

Kwanza jitengenezee furaha yako kabla ya wengine, hiyo kutomridhisha ni furaha yake sio yako, ukiona kutengeneza furaha yako kunamkwaza yeye basi ndo utaangalia namna ya kumridhisha au uachane nae..

Tatizo vijana mnataka sifa za kijinga, mtu akiambiwa hamridhishi mwenza wake na hata sio mkewe ni wa kupita tu anaumia kama vile kafiwa.
 
Hivi ni kweli kuna wanaume wapo wenye vibamia? Unapimaje huyu ana kibamia maana ninavyojua machine ikisimama tu umbile linaongezeka na ikiongezeka haiwi ndogo tena. mwanaume apigi mzigo bila machine kusimama kwanza. So kama kitu unaweza kuniweka sawa kwenye hili
Kwani wewe hukusoma boarding? Au hujawahi kuoga mtoni?
Ulikuwa huwaoni wanaume wenzio km mnatofautiana maumbile?? 🤣🤣🤣
Em acha kunichosha
 
Kama ni hivyo sioni sababu yoyote kwa mwanaume kutokuwa na confidence kwasababu hata mwanaume uwe una machine kubwa kiasi ili kupiga mzigo lazima isimame na hata huyo mwenye maumbile madogo akishasimamisha haiwi tena ndogo labda kama hasimamishi ndio ninaweza kusema ni dosari tofauti na hapo sioni cha kucritisize umbile lake
 
Ww mbishi 😂😂😂
Kwahiyo?? Au basi tufanye hakuna vibamia wala mabwawa wote wanaridhika wake kwa waume.!
 
Sio kwamba nakupinga kuwa hakuna vibamai but naona hakuna mantiki yoyote ya kumcheka mwenye umbile dogo as long as anasimamisha. Na kumridhisha mwanamke hakutokani na kuwa na umbile kubwa au dogo bali ni kutumia ufundi wa kujua sehemu gani zake ambazo zinampa msisimko ukishazijua na kucheza maeneo hayo hayo demu anaweza kuridhika bila hata kutia machine kwenye uke wake. Na kingine unaweza ukawa na umbile kubwa na usimridhishe kabisa mwanamke issue unatumia vipi umbile lako ulionao ndio Sanaa ya mapenzi iko hapa
 
Wacha wee!!
Mpishi mzuri anayejua kupika hatishwi na ukubwa wa sufuria wala udogo wa mwiko!! 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom