Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona umesahau kusema kuwa pia wasiogope kutafuniwa mademu wao wazuri maana hilo ni kama 22/7 au 3.14 kwenye hisabati.Sina lengo baya la kusema mademu wabaya wasiolewe au wasipate wenza, no. Ila katika kusoma articles mbali mbali nimegundua unakuwa na amani ya moyo uki-date na msichana mzuri/mkali kwa sura na vingine(mnanielewa hapa bila shaka nikisema mzuri).
Pia
Malizia ata mwanamke awe mzuri kivipi asiwe single maza na kutokea uchaggani.Sina lengo baya la kusema mademu wabaya wasiolewe au wasipate wenza, no. Ila katika kusoma articles mbali mbali nimegundua unakuwa na amani ya moyo uki-date na msichana mzuri/mkali kwa sura na vingine(mnanielewa hapa bila shaka nikisema mzuri).
Pia hata ukimpa pesa kama akiwa na shida kweli unakuwa na amani kutoa na unakuwa huna kinyongo.
Wasichana wabovu huwa na roho ngumi mno na mbaya, japo kuna wazuri wapo hivyo, lakini wasichana wabovu ni too much. Ni ukwel ulio wazi wana maamuzi ya kikatili na magumu.
Mademu wabovu wanatakiwa ku-date na watu ambao wana-match nao, mwanaume ukiona una mvuto na hb kidogo(japo husemwa mwanaume hawi mzuri ila kama hb utajijua tu), basi date na mdada mzuri hata kama sio sana, ila CHONDEEE usijiroge kudate na demj mbovu.
Ukidate nae atakuwa na inferiority complex, kitu kidogo ataona umemdharau hata kama hujamdharau. Anajishtukia mno!
Date na mademu unao-match nao utakuja kunishukuru. Hata kwenye kuoa, oa mzuri japo kidogo hata kama sio pisi kali.
Nimethibitisha kwa mifano mingi, Neema aliyemuua bf wake, pia kwangu mwenyewe, mademu wabaya walinikataa ila nilipojitambua na kuwafuata na wale wazuri, ajabu walinikubali mpaka nikashangaa na nilifurahia mahusiano yangu.
Ukweli usiopingika kuwa mademu wabovu wana roho ngumu mnoooo tena mbayaaaa
Nawasilisha.
NB[emoji116][emoji116]
Sina lengo la kuwaponda mademu wabaya au wale wanaodate nao ila ndio ukweli. Mwanaume usiogope kumfuata demu mzuri(hata kama ni kidogo) ukihofia kukataliwa, fuata usiogope, utakuja kunishukuru![emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Kama Mwaisa mtu MbadiiiMtu mbaya yupoje [emoji23][emoji23]
Kwahiyo mkeo ni mbaya?Kama Mwaisa mtu Mbadiii
Mbaya kichizi yani hadi siwez elezeaKwahiyo mkeo ni mbaya?
Ila mtamu sio?Mbaya kichizi yani hadi siwez elezea
[emoji23][emoji23][emoji23] Ngoja waje watupatie mwongozoMtu mbaya yupoje [emoji23][emoji23]
Kuna wanawake wazuri lakina mbususu sio tamu, lakini kuna wanawake wabaya lakini mbususu zinautamu wa vanila, mimi kama mimi nitaoa mwanamke mwenye mbususu tamu tu basi.Sina lengo baya la kusema mademu wabaya wasiolewe au wasipate wenza, no. Ila katika kusoma articles mbali mbali nimegundua unakuwa na amani ya moyo uki-date na msichana mzuri/mkali kwa sura na vingine(mnanielewa hapa bila shaka nikisema mzuri).
Pia hata ukimpa pesa kama akiwa na shida kweli unakuwa na amani kutoa na unakuwa huna kinyongo.
Wasichana wabovu huwa na roho ngumi mno na mbaya, japo kuna wazuri wapo hivyo, lakini wasichana wabovu ni too much. Ni ukwel ulio wazi wana maamuzi ya kikatili na magumu.
Mademu wabovu wanatakiwa ku-date na watu ambao wana-match nao, mwanaume ukiona una mvuto na hb kidogo(japo husemwa mwanaume hawi mzuri ila kama hb utajijua tu), basi date na mdada mzuri hata kama sio sana, ila CHONDEEE usijiroge kudate na demj mbovu.
Ukidate nae atakuwa na inferiority complex, kitu kidogo ataona umemdharau hata kama hujamdharau. Anajishtukia mno!
Date na mademu unao-match nao utakuja kunishukuru. Hata kwenye kuoa, oa mzuri japo kidogo hata kama sio pisi kali.
Nimethibitisha kwa mifano mingi, Neema aliyemuua bf wake, pia kwangu mwenyewe, mademu wabaya walinikataa ila nilipojitambua na kuwafuata na wale wazuri, ajabu walinikubali mpaka nikashangaa na nilifurahia mahusiano yangu.
Ukweli usiopingika kuwa mademu wabovu wana roho ngumu mnoooo tena mbayaaaa
Nawasilisha.
NB[emoji116][emoji116]
Sina lengo la kuwaponda mademu wabaya au wale wanaodate nao ila ndio ukweli. Mwanaume usiogope kumfuata demu mzuri(hata kama ni kidogo) ukihofia kukataliwa, fuata usiogope, utakuja kunishukuru![emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Vipi baba ako alifata ushauri wako?Sina lengo baya la kusema mademu wabaya wasiolewe au wasipate wenza, no. Ila katika kusoma articles mbali mbali nimegundua unakuwa na amani ya moyo uki-date na msichana mzuri/mkali kwa sura na vingine(mnanielewa hapa bila shaka nikisema mzuri).
Pia hata ukimpa pesa kama akiwa na shida kweli unakuwa na amani kutoa na unakuwa huna kinyongo.
Wasichana wabovu huwa na roho ngumi mno na mbaya, japo kuna wazuri wapo hivyo, lakini wasichana wabovu ni too much. Ni ukwel ulio wazi wana maamuzi ya kikatili na magumu.
Mademu wabovu wanatakiwa ku-date na watu ambao wana-match nao, mwanaume ukiona una mvuto na hb kidogo(japo husemwa mwanaume hawi mzuri ila kama hb utajijua tu), basi date na mdada mzuri hata kama sio sana, ila CHONDEEE usijiroge kudate na demj mbovu.
Ukidate nae atakuwa na inferiority complex, kitu kidogo ataona umemdharau hata kama hujamdharau. Anajishtukia mno!
Date na mademu unao-match nao utakuja kunishukuru. Hata kwenye kuoa, oa mzuri japo kidogo hata kama sio pisi kali.
Nimethibitisha kwa mifano mingi, Neema aliyemuua bf wake, pia kwangu mwenyewe, mademu wabaya walinikataa ila nilipojitambua na kuwafuata na wale wazuri, ajabu walinikubali mpaka nikashangaa na nilifurahia mahusiano yangu.
Ukweli usiopingika kuwa mademu wabovu wana roho ngumu mnoooo tena mbayaaaa
Nawasilisha.
NB[emoji116][emoji116]
Sina lengo la kuwaponda mademu wabaya au wale wanaodate nao ila ndio ukweli. Mwanaume usiogope kumfuata demu mzuri(hata kama ni kidogo) ukihofia kukataliwa, fuata usiogope, utakuja kunishukuru![emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Kwenye avatar ni ww mkuu?Sisi wabaya tudate na nani sasa, acheni kuchagua chagua, watu wote ni sawa machoni pa Bwana