Mwanaume uliumbiwa kutoa

Kwahiyo mashangazi ndio mmeona wanafaa kukopwa?

Sijapentaaaa
Nimesikitishwa sana na kauli aliyoitoa jamaa Hapo juu. Naomba ladhi kwa niaba yake, hajui anachokisema πŸ€”
 
Kwann wewe uko wapi wa kutunza tupo..manake naona unakutana na jamaa wanaokupiga kisela tu.
 
Kufenintu kama wewe sijui kwanini mpaka sasa upo hai
Tukifa Wanaume wote nyie mtachimbiwa na nani Makaburi mkibaki wenyewe, na vile mlivyo waoga mkiona maiti sipatii picha πŸ€ͺ

Bado bado nipo hai ili nishuhudie hiyo 50 kwa 50 mnayotaka dhidi ya Wanaume kwanini haihusishi na Kwenye Kushea Kodi/kusomesha watoto/Gharama za Chakula n.k

Yaani nyie mnataka mtukamue hela zote hadi nikitoka na Marafiki tushindwe kuchoma Mbuzi πŸ˜†πŸ™Œ
 
Tena sio marafiki tu na ndugu zako pia
 
Tena sio marafiki tu na ndugu zako pia
Hiyo ni roho mbaya, mnataka hata Bi Mkubwa kule Kijijini akiomba hela ya Chumvi nishindwe kumpatia eti kisa hela yote umeimaliza wewe πŸ€ͺπŸ™Œ
 
Hiyo ni roho mbaya, mnataka hata Bi Mkubwa kule Kijijini akiomba hela ya Chumvi nishindwe kumpatia eti kisa hela yote umeimaliza wewe πŸ€ͺπŸ™Œ
Sasa tena bby nionge ile subaru yako ya namba ECB πŸ˜‚
 
Sasa tena bby nionge ile subaru yako ya namba ECB πŸ˜‚
Mwenyewe natembea kwa Miguu baada ya Baiskeli yangu ya Phoenix kupata pancha, hiyo Subaru niitoe wapi Babu yako πŸ€ͺ

Kila la kheri huko Mjini, unaweza kupata Pedeshee mmoja akakuhonga vyote hivyo πŸ˜†
 
Wa kuwapa hela tunawajua na tunawapa, huwezi skia wanakuja kupiga mayowe humu😁 wale wa chapa ilale kama wewe ndo hatutoi
 
Mwenyewe natembea kwa Miguu baada ya Baiskeli yangu ya Phoenix kupata pancha, hiyo Subaru niitoe wapi Babu yako πŸ€ͺ

Kila la kheri huko Mjini, unaweza kupata Pedeshee mmoja akakuhonga vyote hivyo πŸ˜†
Niongee iyo iyo πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kutoa nini?Hizi sio zama za bustani ya Eden dada.Wala sio miaka ya 1980’au 1990’ enzi hizo kipato cha baba kilitosha kusomesha familia ya watoto 10 na bado tulivaa na kula bata.Utajikuta familia ya we zako inasonga mbele wew Unafanya kazi hela unawekeza kwenye mawigi na Fashion.Makalio yako
 
Ametukosea sana kwakweli, hatustahili hayo.

Tunashukuru, msamaha umepokelewa.
Haelewi jinsi mambo yalivyo, sio kosa lake. Umuhimu wenu ni mkubwa sana.

Nashkuru kwa kuupokea msamaha 😊😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…