Mwanaume uliumbiwa kutoa

Mwanaume uliumbiwa kutoa

Kwann wewe uko wapi wa kutunza tupo..manake naona unakutana na jamaa wanaokupiga kisela tu.
 
Kufenintu kama wewe sijui kwanini mpaka sasa upo hai
Tukifa Wanaume wote nyie mtachimbiwa na nani Makaburi mkibaki wenyewe, na vile mlivyo waoga mkiona maiti sipatii picha 🤪

Bado bado nipo hai ili nishuhudie hiyo 50 kwa 50 mnayotaka dhidi ya Wanaume kwanini haihusishi na Kwenye Kushea Kodi/kusomesha watoto/Gharama za Chakula n.k

Yaani nyie mnataka mtukamue hela zote hadi nikitoka na Marafiki tushindwe kuchoma Mbuzi 😆🙌
 
Tena sio marafiki tu na ndugu zako pia
 
Tena sio marafiki tu na ndugu zako pia
Hiyo ni roho mbaya, mnataka hata Bi Mkubwa kule Kijijini akiomba hela ya Chumvi nishindwe kumpatia eti kisa hela yote umeimaliza wewe 🤪🙌
 
Sasa tena bby nionge ile subaru yako ya namba ECB 😂
 
Mwenyewe natembea kwa Miguu baada ya Baiskeli yangu ya Phoenix kupata pancha, hiyo Subaru niitoe wapi Babu yako 🤪

Kila la kheri huko Mjini, unaweza kupata Pedeshee mmoja akakuhonga vyote hivyo 😆
 
Wa kuwapa hela tunawajua na tunawapa, huwezi skia wanakuja kupiga mayowe humu😁 wale wa chapa ilale kama wewe ndo hatutoi
 
Mwenyewe natembea kwa Miguu baada ya Baiskeli yangu ya Phoenix kupata pancha, hiyo Subaru niitoe wapi Babu yako 🤪

Kila la kheri huko Mjini, unaweza kupata Pedeshee mmoja akakuhonga vyote hivyo 😆
Niongee iyo iyo 😂😂
 
Kutoa nini?Hizi sio zama za bustani ya Eden dada.Wala sio miaka ya 1980’au 1990’ enzi hizo kipato cha baba kilitosha kusomesha familia ya watoto 10 na bado tulivaa na kula bata.Utajikuta familia ya we zako inasonga mbele wew Unafanya kazi hela unawekeza kwenye mawigi na Fashion.Makalio yako
 
Ametukosea sana kwakweli, hatustahili hayo.

Tunashukuru, msamaha umepokelewa.
Haelewi jinsi mambo yalivyo, sio kosa lake. Umuhimu wenu ni mkubwa sana.

Nashkuru kwa kuupokea msamaha 😊😊
 
Back
Top Bottom