π π π Endelea kujifurahisha. Ila utakapoacha kuanzisha threads za lawama kwa wanaume wote, ikiwa waliokukosea unawakwepa, na Mimi ndio nitaacha kukumbushia chanzo cha ugomviAu na wewe unataka kuomba kiaina maana sikuelewi kila siku unaongea ilo ilo
umechelewa...alishatoa tigoTokea yule mwamba akuombe tigo huko PM, umekuwa na hasira na wanaume wote. π π π
Namuombea msamaha kwa niaba yake, msamehe sana
Tunatoa kwa wanao toshekaMwanaume lazima afanye kazi kwa ajili ya mwanamke wake. Mwanamume ambaye hayuko tayari kutoa hatakiwi kumiliki mwanamke. Kuna huu ujinga unaojitokeza siku hizi kwa wanaume kusubiri wanawake watoe.
Hii ni kinyume cha maadili ya uanaume, mwanaume aliumbwa kutoa kila kitu kwa mwanamke wake. Mahaba yote, hela zote pamoja na mbegu zake za kiume lazima atoe kwa mwanamke wake.
Hivi unafahamu kuwa tusi lolote unalotukanwa, huwa halina uzito mpaka wewe uliyetukanwa ulipe uzito?Nitakutukana mpaka mwisho
Nimekupendea nn sasa? Kama ni figo ninazo mbili nzima kabisa, sihitaji ya tatu. Au ni hiyo avatar uliyoweka? π π πWewe unanipenda ila unaogopa kusema πππ