Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
π π π Endelea kujifurahisha. Ila utakapoacha kuanzisha threads za lawama kwa wanaume wote, ikiwa waliokukosea unawakwepa, na Mimi ndio nitaacha kukumbushia chanzo cha ugomviAu na wewe unataka kuomba kiaina maana sikuelewi kila siku unaongea ilo ilo