Mwanaume uliumbiwa kutoa

Mwanaume uliumbiwa kutoa

Kwahiyo anatakiwa kufanya kazi kwa ajiri ya nani?
Kwani
Sina matumizi binafsi?
Sina ndugu wa kuwasaidia?
Sina wazazi wa kuwatunza?
Sina watoto wa kuwamsomesha?
Sina marafiki wa kula nao Bata?

Kwa mlolongo wa majukumu hapo juu sijaiona nafasa ya mwanamke.

Otherwise unambie unazungumzia wanawake in general,

kwamba
mabinti zangu-wanawake
Mama yangu-mwanamke
MKE wangu-mwanamke
Marafiki zangu wa kike-wanawake

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️
 
Aisee, nimesikitika sana yani.

Sasa ukishatoa penzi,na ukazaa kwa uchungu ndio basi?

Hayo ndio majukumu yako kama mwanamke?
Yes,ndio mapigo yetu tuliyopewa Tena tumepewa na hedhi Kwa mwezi sio kazi rahisi ni ngumu ,kama zenu mliambiwa mtatunza familia na kutafuta Kwa jasho,ili siye tuje tule na kuendelea kuzaa.
 
Yes,ndio mapigo yetu tuliyopewa Tena tumepewa na hedhi Kwa mwezi sio kazi rahisi ni ngumu ,kama zenu mliambiwa mtatunza familia na kutafuta Kwa jasho,ili siye tuje tule na kuendelea kuzaa.
Kale kwenu

Vichaa watatuzalia
 
Kwani
Sina matumizi binafsi?
Sina ndugu wa kuwasaidia?
Sina wazazi wa kuwatunza?
Sina watoto wa kuwamsomesha?
Sina marafiki wa kula nao Bata?

Kwa mlolongo wa majukumu hapo juu sijaiona nafasa ya mwanamke.

Otherwise unambie unazungumzia wanawake in general,

kwamba
mabinti zangu-wanawake
Mama yangu-mwanamke
MKE wangu-mwanamke
Marafiki zangu wa kike-wanawake

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Iyo ni ziada
 
Back
Top Bottom