Mwanaume umeshajua we ni mnene kwanini unatutia aibu kwa kuvaa boxer ndogo isiyofunika?

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,434
Reaction score
27,177
Mwanaume umeshajua we ni mnene, bonge, kiriba tumbo na upo irregular.

Sasa,kwanini una-watia aibu wanaume wenzio kwa kuvaa boxer ndogo isiyofunika mfereji wote mpaka chini?

Kwanini unavaa nguo ya kubana isiyofika juu.

Kwanini uvae T shirt au Shati ndogo isiyokuenea mpaka tumbo lionekane au ukiinama ****** unabaki wazi?

Ukishakuwa mnene we vaa ma nguo makubwa yanayofunika mwili wote acha kututia aibu.

Nachukia sana kuona mwanaume kainama halafu mfereji wa mku*** unaonekana.

Staha sio tu kwa wanawake — mwanaume naye ana wajibu wa kuvaa kwa heshima.
 
Mwanaume umeshajua we ni mnene.

Kwanini unatutia aibu kwa kuvaa boxer ndogo isiyofunika mfereji wote mpaka chini?

Kwanini unavaa nguo ya kubana isiyofika juu.

Kwanini uvae T shirt au Shati ndogo isiyokuenea mpaka tumbo lionekane au ukiinama ****** unabaki wazi?

Ukishakuwa mnene we vaa ma nguo makubwa yanayofunika mwili wote acha kututia aibu.

I hate very much kuona mwanaume kainama halafu mfeleji wa mkust unaonekana.
Hii mada umei copy "X"(Twitter)
 
Weka hata picha ya kuchora kwa mkono ya kipanya!
 
Mwanaume umeshajua we ni mnene.

Kwanini unatutia aibu kwa kuvaa boxer ndogo isiyofunika mfereji wote mpaka chini?

Kwanini unavaa nguo ya kubana isiyofika juu.

Kwanini uvae T shirt au Shati ndogo isiyokuenea mpaka tumbo lionekane au ukiinama ****** unabaki wazi?

Ukishakuwa mnene we vaa ma nguo makubwa yanayofunika mwili wote acha kututia aibu.

I hate very much kuona mwanaume kainama halafu mfeleji wa mkust unaonekana.
Hamna kitu kinachonichefua kama kumuona mwanaume mwenzangu tena wengini watu wa makamo anatembea huku boxer au chupi yake inaonekana.
Yaani wengine kwenye very great extent hadi mfereji wa matako unaonekana yaani nakerekaga halafu hujue sisi wanaume hatuna utaratibu wa kusema unamfunika mwenzako .
Wanawake wanakautaratibu ka kusitiriana mfano ukikuta mwanamke shanga zinaonekana mwenzake anaweza kumuweka vizuri ila wanaume hatunaga tabia hizo
 
Back
Top Bottom