Mwanaume umeshajua we ni mnene kwanini unatutia aibu kwa kuvaa boxer ndogo isiyofunika?

Hamna kitu kinachonichefua kama kumuona mwanaume mwenzangu tena wengini watu wa makamo anatembea huku boxer au chupi yake inaonekana.
Yaani wengine kwenye very great extent hadi mfereji wa matako unaonekana yaani nakerekaga halafu hujue sisi wanaume hatuna utaratibu wa kusema unamfunika mwenzako .
Wanawake wanakautaratibu ka kusitiriana mfano ukikuta mwanamke shanga zinaonekana mwenzake anaweza kumuweka vizuri ila wanaume hatunaga tabia hizo
Kaka una mwambia kwa roho safi,oyaaaa jomba vyaa fresh mchupi uko njee
 
Haiwezekani kabisa labda awe mtu wangu wa karibu sana ambaye najua hana swaga hizo na kwakuwa sina rafiki wenye swaga hizo naweza kumsitiri
 
Hamna kitu kinachonichefua kama kumuona mwanaume mwenzangu tena wengini watu wa makamo anatembea huku boxer au chupi yake inaonekana.
Yaani wengine kwenye very great extent hadi mfereji wa matako unaonekana yaani nakerekaga halafu hujue sisi wanaume hatuna utaratibu wa kusema unamfunika mwenzako .
Wanawake wanakautaratibu ka kusitiriana mfano ukikuta mwanamke shanga zinaonekana mwenzake anaweza kumuweka vizuri ila wanaume hatunaga tabia hizo
Kabisa mkuu, hii kitu inakera knoma. Hua najiuliza hv hua hawashtuki au vp mana unakuta jamaa yupo free kabisa kuwa hvy
 
Irregular 🤣
kuna Bonge mmoja huwa nampa kazi, mfereji wake unaanzia nusu mgongoni.

Dah kuna watu matako yanaanzia mgongoni sio kiunoni, sio poa
 
Back
Top Bottom