Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Hii mada umei copy "X"(Twitter)Mwanaume umeshajua we ni mnene.
Kwanini unatutia aibu kwa kuvaa boxer ndogo isiyofunika mfereji wote mpaka chini?
Kwanini unavaa nguo ya kubana isiyofika juu.
Kwanini uvae T shirt au Shati ndogo isiyokuenea mpaka tumbo lionekane au ukiinama ****** unabaki wazi?
Ukishakuwa mnene we vaa ma nguo makubwa yanayofunika mwili wote acha kututia aibu.
I hate very much kuona mwanaume kainama halafu mfeleji wa mkust unaonekana.
Wana wadhalilisha sana, ndio sababu hatupendi wanaume mabonge, hawana usafi sehemu nyeti.Mngempasulia yai hapo nadhani siku nyingine asingerudia
Weka hata picha ya kuchora kwa mkono ya kipanya!Mwanaume umeshajua we ni mnene.
Kwanini unatutia aibu kwa kuvaa boxer ndogo isiyofunika mfereji wote mpaka chini?
Kwanini unavaa nguo ya kubana isiyofika juu.
Kwanini uvae T shirt au Shati ndogo isiyokuenea mpaka tumbo lionekane au ukiinama ****** unabaki wazi?
Ukishakuwa mnene we vaa ma nguo makubwa yanayofunika mwili wote acha kututia aibu.
I hate very much kuona mwanaume kainama halafu mfeleji wa mkust unaonekana.
Hamna kitu kinachonichefua kama kumuona mwanaume mwenzangu tena wengini watu wa makamo anatembea huku boxer au chupi yake inaonekana.Mwanaume umeshajua we ni mnene.
Kwanini unatutia aibu kwa kuvaa boxer ndogo isiyofunika mfereji wote mpaka chini?
Kwanini unavaa nguo ya kubana isiyofika juu.
Kwanini uvae T shirt au Shati ndogo isiyokuenea mpaka tumbo lionekane au ukiinama ****** unabaki wazi?
Ukishakuwa mnene we vaa ma nguo makubwa yanayofunika mwili wote acha kututia aibu.
I hate very much kuona mwanaume kainama halafu mfeleji wa mkust unaonekana.
Kabisa hilo vazi la kheshima shekheSisi Wanaume wavaa kanzu haituhusu hiyo 🤗
Unakuwa unaona aibu kama wewe vile halafu kumwambia huweziHalafu unakuta mfreji una ukungu tako limepauka ni aibu aisee
si poa kabisa.Aiseeee.
Anyway mitano tena
Mvaaji akifanya kos, wanaibuka waarabu weusi wanasema si wa dini yao maana Kanzu si dini, haya.Kabisa hilo vazi la kheshima shekhe