Mwanaume umeshajua we ni mnene kwanini unatutia aibu kwa kuvaa boxer ndogo isiyofunika?

Kaka una mwambia kwa roho safi,oyaaaa jomba vyaa fresh mchupi uko njee
 
Kaka una mwambia kwa roho safi,oyaaaa jomba vyaa fresh mchupi uko njee
Haiwezekani kabisa labda awe mtu wangu wa karibu sana ambaye najua hana swaga hizo na kwakuwa sina rafiki wenye swaga hizo naweza kumsitiri
 
Kabisa mkuu, hii kitu inakera knoma. Hua najiuliza hv hua hawashtuki au vp mana unakuta jamaa yupo free kabisa kuwa hvy
 
Irregular 🤣
kuna Bonge mmoja huwa nampa kazi, mfereji wake unaanzia nusu mgongoni.

Dah kuna watu matako yanaanzia mgongoni sio kiunoni, sio poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…