Mwanaume una mguu laini, unavaa pensi. Unataka tukuelewe vipi?

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,623
Reaction score
8,442
Siku hizi kuna ongezeko la wanaume kuvaa pensi fupi

Unakuta msela ana guu la bia halafu laini hata kovu hana anavaa pensi ujue anaonekana kama shoga

Mwanaume rijali kama mimi mguu umekomaa na una nywele kibao ziwezi kuvaa pensi

Nyie masela mnaovaa pensi mbele ya kadamnasi na hiyo miguu yenu soft mnatuaibisha wanaume wenzenu mnakua kama mashoga bhana .[emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Labda kwao mboga saba we kwenu mboga moja [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
hahahaha ..mbona yangu ina Crack kila kona ..ila nakula Pensi ...na nnaona Fresh tu.. [emoji16][emoji16]..Tena nimekumbuka leo nipitie nyingin
wee vaa suruali...ths is 2018 acha umaskini wa fikra wa kudhani Ikichukiacho ww Kila mtu anakichukia
 
Vaa magome ya miti tu ndio utakuwa sio shoga lakini vinginevyo nawe utakuwa tu gasho[emoji102] [emoji102]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…